mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mwanangu naona na wewe upo badoHaka kaaskofu bado kapo?
We unajuwa mwanngu sema basi itikadi tu tunafoautiana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu naona na wewe upo badoHaka kaaskofu bado kapo?
Hawa wajinga watajibu nini wao wenyewe wanaota teuzi kila siku, Hando baba ake mdogo ni Askofu wa RC hivyo hana njaa, kwao Mbulu ni matajiri kupita kiasi hawana njaa kama ukoo wenu, fika kwa baba ake mzazi uone maliThe best way kwa Gerald Hando kama mtangazaji wa kipindi angemualika mtaalamu wa uchumi na fedha kutoka kwenye vyuo bobezi kama UDSM, IFM au Mzumbe halafu yeye awe anauliza maswali then mtaalamu ndiyo a make opinion. Ila yeye kuongea mambo ya kijiweni kwenye ulevi ni kutomtendea haki mwajiri wake.
Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho
Wewe maskofo wako si wakina mwmposa kkobe na yule wa arushaHuyu nae askofu wa mchongo tu nae kuchunga kondooo hatak yupo bze na siasa fanya kwa kias
Weee watangazaji wako si wakina zembwela,diva,mpoki,baba levo nkGerald Hando ni form IV leaver hana elimu yeyoye kwenye sekta ya habari au kwenye uchumi. Hajui vigezo vya kukopa ni vipi katika level ya nchi. Tanzania mpaka sasa haipo kwenye nchi 20 zenye mikopo mibaya. Wataalamu huangalia mikopo kwa kutumia index inaitwa debt/equity ratio au debt/ gdp ratio. Jedwali lifuatalo linaonyesha nchi za Afrika zenye ratio mbaya:
View attachment 2465980View attachment 2465981
Kwani hao wakatao itwa hawajui matTizo ya kutoa maoniThe best way kwa Gerald Hando kama mtangazaji wa kipindi angemualika mtaalamu wa uchumi na fedha kutoka kwenye vyuo bobezi kama UDSM, IFM au Mzumbe halafu yeye awe anauliza maswali then mtaalamu ndiyo a make opinion. Ila yeye kuongea mambo ya kijiweni kwenye ulevi ni kutomtendea haki mwajiri wake.
Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho
Tupia picha yako tukujadili na weeeIla mwamakula amekonda jamani, na Ile kofia ya uaskofu sijui huwa anaigundisha na gundi pale kichwani
Watu kama.hawa wakiambiwa bongooo wana bongoaaaMawazo kama Haya ndiyo yameifikisha nchi yetu hapa tulipo,
Nchi ya kusadikika
Wpmbv sana hawa watuHawa wajinga watajibu nini wao wenyewe wanaota teuzi kila siku, Hando baba ake mdogo ni Askofu wa RC hivyo hana njaa, kwao Mbulu ni matajiri kupita kiasi hawana njaa kama ukoo wenu, fika kwa baba ake mzazi uone mali
Hutu tu takwimu twenu ndio sikuizi tumeisha kuwa fashion kila mkibanwa mnakimbilia kulinganisha na nchi zingine mtasababisha taifa liangamie eti kwasababu taifa fulani limeangamia zaidiGerald Hando ni form IV leaver hana elimu yeyoye kwenye sekta ya habari au kwenye uchumi. Hajui vigezo vya kukopa ni vipi katika level ya nchi. Tanzania mpaka sasa haipo kwenye nchi 20 zenye mikopo mibaya. Wataalamu huangalia mikopo kwa kutumia index inaitwa debt/equity ratio au debt/ gdp ratio. Jedwali lifuatalo linaonyesha nchi za Afrika zenye ratio mbaya:
View attachment 2465980View attachment 2465981
Natamani Mapadri na Maaskofu na Wachungaji waseme UKWELI kama Askofu Mwamakula Ili sadaka zetu zipokelewe Kwa HAKI.GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022.
Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali.
Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa tabia ya serikali ya kukopa fedha. EFM inataka watangazaji wake wawe wanasifia serikali wasiwe wanakosoa. EFM haijui wajibu wa wanahabari kwa umma. Ni aibu kubwa sana kuwa na vyombo vya habari vinavyojikomba na kujipendekeza serikalini.
Ndugu Gerald Hando anatajwa na Askofu Mwamakula kuwa shujaa wa 31 Desemba 2022 kwa kutoa maoni yake bila kuogopa na kukosoa serikali bila hofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2465873
Strongly agree .GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022.
Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali.
Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa tabia ya serikali ya kukopa fedha. EFM inataka watangazaji wake wawe wanasifia serikali wasiwe wanakosoa. EFM haijui wajibu wa wanahabari kwa umma. Ni aibu kubwa sana kuwa na vyombo vya habari vinavyojikomba na kujipendekeza serikalini.
Ndugu Gerald Hando anatajwa na Askofu Mwamakula kuwa shujaa wa 31 Desemba 2022 kwa kutoa maoni yake bila kuogopa na kukosoa serikali bila hofu!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
View attachment 2465873
Na wewe wa la Saba B, sijui unataka nini JF. Nenda kasome japo MEMKWA ujue kuandika. "mnaangaika" siyo Kiswahili labda ni KimakondeKama ni form 4 leaver, mbona mnaangaika nae?
Kwa sasa Form IV inakuwezesha kujua kusoma na kuandika tu. Kama na wewe ni Form IV labda kwenye familia yako ndiyo wakuite msomiKwa hiyo form 4 leaver ndo hawatakiwi kutoa maoni kuhusu uchumi? Mmeishiwa akili Hadi za kuendea chooni!?
Sawa msomi kuangaika kama sio kiswahili basi utakuwa msomi wa mchongo na rudi darasani jifunze kiswahili kifasaha kenge weweNa wewe wa la Saba B, sijui unataka nini JF. Nenda kasome japo MEMKWA ujue kuandika. "mnaangaika" siyo Kiswahili labda ni Kimakonde
Umeingia Chaka. Angekuwa na degree ya software engineering asingekubali kuwa anafanya vipindi vya kubwabwaja redioni. SEMA ni fundi mitambo, yaani wake wanaoshika kamera na kuchomeka waya kwenye plug. Hiyo siyo softwareWe utakuwa chizi, Hando ana degree ya software engineering, we una usomi wako umesaidia nini taifa?
Umeingia chaka jingine. Aliyekuwa askofu wa Jimbo la Mbulu ni Babu yake ambaye alikufa about 15 years ago. All in all utajuri wa askofu hauingii kwenye familiaHawa wajinga watajibu nini wao wenyewe wanaota teuzi kila siku, Hando baba ake mdogo ni Askofu wa RC hivyo hana njaa, kwao Mbulu ni matajiri kupita kiasi hawana njaa kama ukoo wenu, fika kwa baba ake mzazi uone mali
Wote hao uliowataja hawana formal education kwenye journalism. Ujanja ujanja tu ndiyo unaotumika kwenye mdomoWeee watangazaji wako si wakina zembwela,diva,mpoki,baba levo nk
Wana elimu ya utangazaji
Ova
Numbers speak louder, statistics never lie. Ni wajinga tu ndiyo hupingana na takwimuHutu tu takwimu twenu ndio sikuizi tumeisha kuwa fashion kila mkibanwa mnakimbilia kulinganisha na nchi zingine mtasababisha taifa liangamie eti kwasababu taifa fulani limeangamia zaidi
Nakufundisha Kiswahili wewe unaleta matusi.Sawa msomi kuangaika kama sio kiswahili basi utakuwa msomi wa mchongo na rudi darasani jifunze kiswahili kifasaha kenge wewe