Aisee Kumbe baada ya uchaguzi tu hali ilikuwa inatisha sana.Michano mikavu wazi wazi
AiseeYangu Macho
Sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka...
Ngoja nitaitafuta iko youtube?..sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.
..unaweza kulia kutokana na aliyoyaeleza.
..kuna mpaka matukio ya askari kuzuia mawakili wa mtuhumiwa kuingia mahakamani.
..Halafu Hakimu akaendelea kusikiliza kesi huku akijua mawakili wa mtuhumiwa wamezuiliwa kumuwakilisha mteja.
Daaah πͺπͺπͺ!! Inamaana wazee wa legacy hawajui haya mamb au ni wanazi wa hii hali!!!Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.
Sikiliza mwenyewe hapa.
Ngoja nitaitafuta iko youtube?
Umeshindwa kutazama video ya 10min kabla ya kukomenti?Kulala selo saa 30 ndio zito?
Nimeisikiliza Yote la maana ni moja tu huyo Fatma Karume wa ACT Wazalendo arejeshewe leseni yake ya uwakiliUmeshindwa kutazama video ya 10min kabla ya kukomenti?
π π π π JohnNimeisikiliza Yote la maana ni moja tu huyo Fatma Karume wa ACT Wazalendo arejeshewe leseni yake ya uwakili
π€©π€©π π π π John