Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.

Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.

Sikiliza mwenyewe hapa.

 
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka...
Sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.

Unaweza kulia kutokana na aliyoyaeleza.

Kuna mpaka matukio ya askari kuzuia mawakili wa mtuhumiwa kuingia mahakamani.

Halafu Hakimu akaendelea kusikiliza kesi huku akijua mawakili wa mtuhumiwa wamezuiliwa kumuwakilisha mteja.
 
..sikiliza hotuba ya Sheikh Ponda mbele ya TLS.

..unaweza kulia kutokana na aliyoyaeleza.

..kuna mpaka matukio ya askari kuzuia mawakili wa mtuhumiwa kuingia mahakamani.

..Halafu Hakimu akaendelea kusikiliza kesi huku akijua mawakili wa mtuhumiwa wamezuiliwa kumuwakilisha mteja.
Ngoja nitaitafuta iko youtube?
 
Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka.
Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS.

Sikiliza mwenyewe hapa.


Daaah 😪😪😪!! Inamaana wazee wa legacy hawajui haya mamb au ni wanazi wa hii hali!!!
 
Huyu mzee ni moja kati ya viongozi wa kidini wapumbavu,na ameitwa pale huku wakijua atakwenda kuropoka nn,na kwa taarifa yako,watu kama hao ndio wanatakiwa na utawala wa awamu ya sita,

Wewe jiuluze,ameitwa pale kama wakili au kama askofu?,je ni mwanachama wa TLS?, ili kujua kuwa ni mpumbavu,yeye ni kiongozi wa kidini,lkn anayoongea ni ya kisiasa tupu!, huo ni upumbavu,lkn pia waumini wake wanamisimamo tofauti ya kisiasa,wapo wanaccm,wanachadema,na wasio na chama,lkn yeye anawalisha tu upumbavu wake na chuki zake na jpm.
 
Back
Top Bottom