Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Screenshot_20210727_141847_com.twitter.android.jpg


Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
 
Askofu wa kanisa linaloruhusu ndoa za jinsia moja. Anamwomba mungu gani, baali au Mungu anayekataza usodoma? hako kajamaa hakajui nini maana ya askofu. Ameweka pembeni Biblia amekuwa chadema, si akagombee tu ubunge kama mwenzie Gwajiboy? ni kavurugaji na serikali ifike mahali ichoke. Wasimuogope, ni wakristo wachache sana wanamsapotu huyo kimbaumbau.
 
Mungu anataka UTULIVU NA AMANI za nchi.

Labda amemuomba Mungu asiyeumba ulimwengu huu.

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom