Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

😂😂😂haya maombi ayatofautiani na ya sheikh Kishki kumuomba Yarabi amtoe roho afande Sele lakini mpka leo jamaa anadunda tu.
Yule shehe hakumwomba Mungu alimwamuru Mungu. Tofauti ni kuwa Mungu hakpiganiwi ila hujipigania mwenyewe na Mungu ni wa rehema humhurumia mwenye dhambi.

Hamuui mtu haraka anasubiri kama tutatubu dhambi zetu. Ukitubu anakusamehe. Nadhani niliona clip ya sele akiomba msamaha. Mungu husikiliza sana maombi ya mwenye haki na Mungu anachukia sana uonevu.

Swali ni je Mbowe anaonewa au anastahili yanaliyomkuta? Kama anaonewa Mbowe anachomoka tu hapo.
 
Kitaumana muda si mwingi.
Mungu ibariki Tanzania
Wabariki viongozi wake
Heshima umoja na amani
..........
Nishausahau wimbo wenyewe.
 
yaani ni maajabu ya karne anayejiita mtumishi kuwa mwanasiasa mchumia tumbo wakati kondoo wanatawanyika hakuna mjinga wakumfanyisha huo ujinga fanya mwenyewe uliyelaaniwa unayejiita askofu njaa
 
Radi Nyekundu yenye moshi mweusi Mzito na ngurumo ya Nyukilia yenye Kishido kikubwa cha kutetemesha bahari na ardhi kupasuka vipande vipande......
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Asante sana Baba Askofu..
MUNGU anakwenda kutenda.
 
Niliwaona Chadema pale Mahakamani Siku ya hukumu ya Mdude walipiga maombi ya nguvu hadi Hakimu akahairisha kesi kisha akaja kumuacha huru Mdude.

Hivyo ninaimani haya maombi yanaweza kujibiwa tena na Mungu kisha milango ya Gereza itafunguka
 
We
askofu wa kanisa linaloruhusu ndoa za jinsia moja. anamwomba mungu gani, baali au Mungu anayekataza usodoma? hako kajamaa hakajui nini maana ya askofu. ameweka pembeni Biblia amekuwa chadema, si akagombee tu ubunge kama mwenzie gwajiboy? ni kavurugaji na serikali ifike mahali ichoke. wasimuogope, ni wakristo wachache sana wanamsapotu huyo kimbaumbau.
We unajua mungu anataka nini! Umeenda kuongea na mungu au unamjua. Kama mungu mungu mwenyewe anataka ndoa za mashoga we utajuaje. Tumuache mungu fikra za binadamu siyo za mungu.wengi tunafanya speculations tu hakuna mwenye uhakika na anavyovisali
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Fun [emoji16][emoji16][emoji16]

Tusimjaribu Mungu..
Nani kasema kuwa kaonewa.? Ana uhakika huo. Embu ahuburi watu wampokee Yesu. Aachane na mambo ya siasa.!
 
Back
Top Bottom