Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Ingekuwa dua na maombi yanajibiwa kwa binadamu kutaka basi GEORGE BUSH na OBAMA wangeshakuwa kaburini ama machizi....Wakristo na waislam wa Iraq na Syria WAMEOMBA SANA.....

#KaziIendelee
Wale waliuwa magaidi, magaidi ni hatari kwa muislamu hatari kwa Mkristo gaidi hana dini.Mrusi kawapelekea Sana kuzimu magaidi.
 
ifike mahali wachungaji na maaskofu pia wajue kuwa kuna serikali wanayotakiwa kuiheshimu, wasivimbe sana migongo kujiona ni untouchables.
 
ifike mahali wachungaji na maaskofu pia wajue kuwa kuna serikali wanayotakiwa kuiheshimu, wasivimbe sana migongo kujiona ni untouchables.
Waache waombe dua, kuomba dua siyo kosa la jinai.
Nyie kama mna mabunduki na Jela na Maaskari, Basi yupo Mungu wa haki MWAMUZI. Wacha watu wamlilie
 
ifike kipindi, kama vile shehe ponda anavyoweza kupelekwa ndani, huyu askofu uchwara anayetoka kanisa linalosapoti ushoga, awekwe ndani na yeye. serikali ikiendelea kumwacha hivihivi anaona kama inamuogopa, pamoja na kwamba anatafuta attention.
Haizui hasira za Mungu
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Tuache kukurupuka kukosoa watawala. Hapa mie naona kuna umbumbumbu
 
Back
Top Bottom