Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Those people wako tayari kutumia LIVE bullets kwa waandamanaji hata kama waandamanaji wanaandamana peacefullyKwa nini hawaandamani kupinga kifungo cha Mbowe? Wanamwigopa Samia?
Aende wapi ?!!!Huyu maza lazima aondoke hafai amfuate dikteta mwenzake
Haya ngoja tuone majibu yatakuwajeMungu anataka UTULIVU NA AMANI za nchi.
Labda amemuomba Mungu asiyeumba ulimwengu huu.
#KaziIendelee
Mbowe kafugwa ?lini?Kwa nini hawaandamani kupinga kifungo cha Mbowe? Wanamwigopa Samia?
Sawa ngoja tuone Majibu yatakuwajeBadala ya kuomba Mungu atuokoe na janga la Corona unataka tumuombee Mbowe? Acha mahakama itaamua,maana hao no ni watumishi wa Mungu.
Maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.
....na ndivyo unavyolindwa UTULIVU WA NCHI!!!Those people wako tayari kutumia LIVE bullets kwa waandamanaji hata kama waandamanaji wanaandamana peacefully
Hapo hatabaki salama wananchi wamewachokaChama kinacho pendwa na serikali ya uzalendo inaogopa katiba mpya? [emoji38]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
AmeniMungu mbariki Potential noble peace award contender FREEMAN AIKAEL MBOWE.
Wote kwa pamoja tuseme AMEN!
Ingekuwa dua na maombi yanajibiwa kwa binadamu kutaka basi GEORGE BUSH na OBAMA wangeshakuwa kaburini ama machizi....Wakristo na waislam wa Iraq na Syria WAMEOMBA SANA.....Amfuate dikteta mwenzake
Endeleeni KUJIFAJIRI.....Haya ngoja tuone majibu yatakuwaje