Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbona tuliomba dikteta akaondoka?Ingekuwa dua na maombi yanajibiwa kwa binadamu kutaka basi GEORGE BUSH na OBAMA wangeshakuwa kaburini ama machizi....Wakristo na waislam wa Iraq na Syria WAMEOMBA SANA.....
#KaziIendelee
Yule shehe hakumwomba Mungu alimwamuru Mungu. Tofauti ni kuwa Mungu hakpiganiwi ila hujipigania mwenyewe na Mungu ni wa rehema humhurumia mwenye dhambi.😂😂😂haya maombi ayatofautiani na ya sheikh Kishki kumuomba Yarabi amtoe roho afande Sele lakini mpka leo jamaa anadunda tu.
Mkuu nani aandamane? Wote wataishia selo!!!!Kwa nini hawaandamani kupinga kifungo cha Mbowe? Wanamwogopa Samia?
wajaribu waone wametuliaaaa mbowe anasota pekeyakeKwa nini hawaandamani kupinga kifungo cha Mbowe? Wanamwogopa Samia?
wanaandamana vyumbani mwao.wajaribu waone wametuliaaaa mbowe anasota pekeyake
Asante sana Baba Askofu..View attachment 1870225
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.
Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Mungu ni mwema ...Sawa ngoja tuone Majibu yatakuwaje
Hakika giza linenda kuchanwa chanwa na Dunia nzima ishuhudie....Hakika Mwenyezi hujibu maombi, atatenda!
We unajua mungu anataka nini! Umeenda kuongea na mungu au unamjua. Kama mungu mungu mwenyewe anataka ndoa za mashoga we utajuaje. Tumuache mungu fikra za binadamu siyo za mungu.wengi tunafanya speculations tu hakuna mwenye uhakika na anavyovisaliaskofu wa kanisa linaloruhusu ndoa za jinsia moja. anamwomba mungu gani, baali au Mungu anayekataza usodoma? hako kajamaa hakajui nini maana ya askofu. ameweka pembeni Biblia amekuwa chadema, si akagombee tu ubunge kama mwenzie gwajiboy? ni kavurugaji na serikali ifike mahali ichoke. wasimuogope, ni wakristo wachache sana wanamsapotu huyo kimbaumbau.
AmenMUNGU wa Ibrahim na Isaka atasikia maombi yetu - na kila mwenye pumzi aseme - Amein... !!
Fun [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1870225
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.
Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Kunakucha....Mungu husikia maombi ya watu wake. Na kwa muda wake, hutenda. Alitenda 17 March 2021. Na atatenda tena.