residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Waliombwa na nani!!??Sas kama ni in advance mnaunguruma nini. Kuna shilingi yoyote ya Tanzania hapo.
Wamejenga misikiti sabab wameombwa, nanyie ombeni wawejengee makanisa iwe bila bila
Na wanajitambua kuwa wachafu kupita kiasi ndio maana hongo/rushwa zimetamaraki kila taasisi, mara waandishi wa habari, mara wabunge, mara misikiti nk. Kama yu msafi kwanini anatembeza rushwa?.Hivi kweli hayo yote wanamchafua tu.Huyu DPW ajitafakari.Kama hao waarabu wasingekuwa na doa, hayupo ambaye angehangaika kuuliza matumizi ya hela zao.
Kwani kule Dodoma hamjawahi kujengewa msikiti na Gaddafi? nani aliyelalamika kuuliza kwanini Gaddafi kawajengea? Hayupo.
Usijitoe akili makusudi kulinda maslahi yenu, ukweli ni kwamba, hao waarabu ni wachafu, na uchafu wao umethibitika kote walipokwenda kuwekeza dunia hii, hivyo hawawezi kufumbiwa macho na wasiopenda unafiki, wanaoijua kweli, na kuihubiri haki.
Hospital gani kubwa ya kiislamu inayopelekewa?Hizo pesa hupelekwa kwenye hospitali zote kubwa bila kujali dini.
Makampuni ya mabeberu huwa hayana huo muda wa kujiingiza katika masuala ya dini.Kwani wakijenga misikiti shida nini, mabeberu nao si watajenga makanisa
Kampuni gani ya West uliwahi kuona inajihusisha na masuala ya kujenga makanisa au kutoa misaada makanisani??Nilikwambia Toka Mwanzo kinachopingwa hapa na waliojificha kwenye sijui mkataba mbovu ni mambo ya Kidini.
Kwamba ni sawa Wazungu kutoa pesa za kusaidia Wakristo ikiwemo kuwajengea makanisa nk ila ni haramu hao hao DP World kutoa pesa za kusaidia Waislamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaarabu siyo wa kumpa nchi, anadumaza maendeleo.Kwa nini wasijenge hoapitali,shule, vituo vya michezo, vyuo vya ufundi!!???
DP world ni kampuni binafsi au ya serikali ya Dubai!!??Charity Organisations za Wazungu ziko kama zote,hao unaowataja wanatoa misaada kiserikali sio misaada ha kibinafsi.
Mwisho kwani DP World kama kampuni binafsi inakatazwa kusaidia wenye uhitaji ikizingatiwa imetokea sehemu ya Waislamu?
Ukiona hivi ujue case closed ! Watu wameishiwa na hoja zenye nguvu Imebaki blah blah tu !Kuingiza udini kwenye hili ni kukanyaga mstari mwekundu ambao ni hatari kwa pande zote.
But who cares, siasa na wanasiasa kazini.
Hapana, makampuni binafsi yasijihusishe na masuala ya kidini au yakitaka kufanya hivyo yawe yana balance, yasiegemee upande mmoja tu.Tanzania ina makampuni mengi mno ya kikiristo na kisabato, easy yaimbieni hayo makampuni nayo yajenge makanisa.
Mmepewa Chuo cha TANESCO pale Msamvu ( MUM) lakini mmeshindwa hata kukiendeleza.Hakuna
Ajabu yoyote hata Kule Tabora samota Alipata tender ya Ujenzi wa ma barabara na aliamua kurejesha kwa Umma kwa njia ya Ujenzi wa Misikiti, huyu DP World hata ajaanza kujenga mwamsema au kwasababu yeye ni mwarabu wa DUBAI? Acheni Roho mbaya, mlikataa OIC, mlikataa chuo kikuu, mlikataa Mahakama ya Kadhi na mengineyo lakini chuki haipoi
Mbeya kuna bandari ipi? Mpaka akimbilie huko? Mbona sijawahi kusikia GGM imejenga zahanati Iringa? I la huko Kahama/Geita walipo wanajenga na ni sahihi.JITAMBUE NDUGU.Ni utaratibu kwa mwekezaji kurudisha fadhira kwa jamii.Ni wazi atazid kuzisaidia jamii zaidi ya hapo, mpaka hizo shule, visima, vituo vya afya nk. Lakin kuzuia asijenge misikiti wakati DP WORLD majority ni waislam ni sawa sawa na tuishangae VATICAN kujenga makanisa.
ACHA UDINI TANZANIA INAHITAJI KUJUA MADHAIFU NA MAZURI YA HUU MKATABA
Mmepewa chuo kikuu Bure, bila aibu Serikali ilikubali Serikali za Libya na Morocco sehemu kubwa tu ya misaada yao ije kwenu Waislam. Uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania ikazishaeishi Serikali za wazungu kusaidia wakiristo tuNani kakwambia hawatuibii hawa viongozi wa makanisa? Unajua serikali kila mwaka inapeleka grants bilioni ngapi kwenye hospitali za makanisa kulingana na MoU iliyopitishwa na nyerere tena hospitaliza walutheri na wakatoliki zote serikali inapeleka fedha sipati picha ingekuwa ni kwa waislamu ? Mambo mengine wakristo wezangu tukae kimya tu siyo ya kuzungumza hadharani tutaaibika.
Hatutaki misikiti wala makanisa hivyo vyombo ni vya wapigaji vilevile, jenga shule, Hospital nk.na kwanini Mbeya? Ingekuwa Dar au Tanga ningekuelewa, hivi nyie mnafurahi kuona viongozi wetu wanahongwa na hili likampuni?Sas kama ni in advance mnaunguruma nini. Kuna shilingi yoyote ya Tanzania hapo.
Wamejenga misikiti sabab wameombwa, nanyie ombeni wawejengee makanisa iwe bila bila
Majibu yote ni sahihiDP world ni kampuni binafsi au ya serikali ya Dubai!!??
Mbona hakuna nchi inakuja kuwekeza na kueneza mambo ya dini? Wamarekani wapo, wachina nk hatutaki mambo ya dini katika mambo ya kitaifa.Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.
Wagalatia wana roho mbaya sana.
Kwa sababu misikiti kule ni michache, lazima watu wapate huduma za kiroho kuleJiulize kwanini Msikiti upelekwe Mbeya???
Nashindwa hata kujibuHatutaki misikiti wala makanisa hivyo vyombo ni vya wapigaji vilevile, jenga shule, Hospital nk.na kwanini Mbeya? Ingekuwa Dar au Tanga ningekuelewa, hivi nyie mnafurahi kuona viongozi wetu wanahongwa na hili likampuni?