Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Sas kama ni in advance mnaunguruma nini. Kuna shilingi yoyote ya Tanzania hapo.

Wamejenga misikiti sabab wameombwa, nanyie ombeni wawejengee makanisa iwe bila bila
Waliombwa na nani!!??
Hawakuwepo hapa, hao waliowaomba walikutana nao wapi!!??
 
Kama hao waarabu wasingekuwa na doa, hayupo ambaye angehangaika kuuliza matumizi ya hela zao.

Kwani kule Dodoma hamjawahi kujengewa msikiti na Gaddafi? nani aliyelalamika kuuliza kwanini Gaddafi kawajengea? Hayupo.

Usijitoe akili makusudi kulinda maslahi yenu, ukweli ni kwamba, hao waarabu ni wachafu, na uchafu wao umethibitika kote walipokwenda kuwekeza dunia hii, hivyo hawawezi kufumbiwa macho na wasiopenda unafiki, wanaoijua kweli, na kuihubiri haki.
Na wanajitambua kuwa wachafu kupita kiasi ndio maana hongo/rushwa zimetamaraki kila taasisi, mara waandishi wa habari, mara wabunge, mara misikiti nk. Kama yu msafi kwanini anatembeza rushwa?.Hivi kweli hayo yote wanamchafua tu.Huyu DPW ajitafakari.
 
Kuingiza udini kwenye hili ni kukanyaga mstari mwekundu ambao ni hatari kwa pande zote.








But who cares, siasa na wanasiasa kazini.
 
Nilikwambia Toka Mwanzo kinachopingwa hapa na waliojificha kwenye sijui mkataba mbovu ni mambo ya Kidini.

Kwamba ni sawa Wazungu kutoa pesa za kusaidia Wakristo ikiwemo kuwajengea makanisa nk ila ni haramu hao hao DP World kutoa pesa za kusaidia Waislamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kampuni gani ya West uliwahi kuona inajihusisha na masuala ya kujenga makanisa au kutoa misaada makanisani??
 
Kwa nini wasijenge hoapitali,shule, vituo vya michezo, vyuo vya ufundi!!???
Mwaarabu siyo wa kumpa nchi, anadumaza maendeleo.
Sehemu zote alizokaa mwaarabu kuna misikiti mingi na visima vya kujitawazia.
Ni kuwa na makini tu wasije wakaanza kufadhili vikundi vya kigaidi
 
Charity Organisations za Wazungu ziko kama zote,hao unaowataja wanatoa misaada kiserikali sio misaada ha kibinafsi.

Mwisho kwani DP World kama kampuni binafsi inakatazwa kusaidia wenye uhitaji ikizingatiwa imetokea sehemu ya Waislamu?
DP world ni kampuni binafsi au ya serikali ya Dubai!!??
 
Tanzania ina makampuni mengi mno ya kikiristo na kisabato, easy yaimbieni hayo makampuni nayo yajenge makanisa.
Hapana, makampuni binafsi yasijihusishe na masuala ya kidini au yakitaka kufanya hivyo yawe yana balance, yasiegemee upande mmoja tu.
 
Hakuna

Ajabu yoyote hata Kule Tabora samota Alipata tender ya Ujenzi wa ma barabara na aliamua kurejesha kwa Umma kwa njia ya Ujenzi wa Misikiti, huyu DP World hata ajaanza kujenga mwamsema au kwasababu yeye ni mwarabu wa DUBAI? Acheni Roho mbaya, mlikataa OIC, mlikataa chuo kikuu, mlikataa Mahakama ya Kadhi na mengineyo lakini chuki haipoi
Mmepewa Chuo cha TANESCO pale Msamvu ( MUM) lakini mmeshindwa hata kukiendeleza.
Serikali imegoma kuwapa chuo gani tena!!??
 
Ni utaratibu kwa mwekezaji kurudisha fadhira kwa jamii.Ni wazi atazid kuzisaidia jamii zaidi ya hapo, mpaka hizo shule, visima, vituo vya afya nk. Lakin kuzuia asijenge misikiti wakati DP WORLD majority ni waislam ni sawa sawa na tuishangae VATICAN kujenga makanisa.

ACHA UDINI TANZANIA INAHITAJI KUJUA MADHAIFU NA MAZURI YA HUU MKATABA
Mbeya kuna bandari ipi? Mpaka akimbilie huko? Mbona sijawahi kusikia GGM imejenga zahanati Iringa? I la huko Kahama/Geita walipo wanajenga na ni sahihi.JITAMBUE NDUGU.
 
Nani kakwambia hawatuibii hawa viongozi wa makanisa? Unajua serikali kila mwaka inapeleka grants bilioni ngapi kwenye hospitali za makanisa kulingana na MoU iliyopitishwa na nyerere tena hospitaliza walutheri na wakatoliki zote serikali inapeleka fedha sipati picha ingekuwa ni kwa waislamu ? Mambo mengine wakristo wezangu tukae kimya tu siyo ya kuzungumza hadharani tutaaibika.
Mmepewa chuo kikuu Bure, bila aibu Serikali ilikubali Serikali za Libya na Morocco sehemu kubwa tu ya misaada yao ije kwenu Waislam. Uliisha sikia wapi Serikali ya Tanzania ikazishaeishi Serikali za wazungu kusaidia wakiristo tu
 
Sas kama ni in advance mnaunguruma nini. Kuna shilingi yoyote ya Tanzania hapo.

Wamejenga misikiti sabab wameombwa, nanyie ombeni wawejengee makanisa iwe bila bila
Hatutaki misikiti wala makanisa hivyo vyombo ni vya wapigaji vilevile, jenga shule, Hospital nk.na kwanini Mbeya? Ingekuwa Dar au Tanga ningekuelewa, hivi nyie mnafurahi kuona viongozi wetu wanahongwa na hili likampuni?
 
Nilishasema mwanzo hili suala limeingia udini ndani yake, wakristo hawaitaki DP World kwa sababu ya uislam.

Wagalatia wana roho mbaya sana.
Mbona hakuna nchi inakuja kuwekeza na kueneza mambo ya dini? Wamarekani wapo, wachina nk hatutaki mambo ya dini katika mambo ya kitaifa.
 
Wanaochochea udini walaaniwe milele. Tena wajue kuwa watanzania hawatakubali kamwe na hivo, hiyo kazi yao haitabarikiwa kamwe.
Watanzania wanaishi pamoja, kula pamoja, kufurahi pamoja, kuhuzunika pamoja, kazi pamoja ... na kuondoa hali hii wajue wanatafuna mawe badala ya karanga, wanapaka pilipii badala ya mafuta, wanalamba tinndikali badala ya asali. Hatukubali
 
Hatutaki misikiti wala makanisa hivyo vyombo ni vya wapigaji vilevile, jenga shule, Hospital nk.na kwanini Mbeya? Ingekuwa Dar au Tanga ningekuelewa, hivi nyie mnafurahi kuona viongozi wetu wanahongwa na hili likampuni?
Nashindwa hata kujibu
 
Back
Top Bottom