Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

Kwanini maaskofu na wachungaji wanaipambania sana Chadema?

Chadema ni chama cha Kikristo?

Ni Chama cha haki, na hao viongozi wa dini ni wahubiri haki na upendo. Ccm yenyewe inatetewa na vyombo vya dola na kundi la watu wasiojulikana maana hawaamini katika haki na upendo, bali madaraka tu.
 


Lete hapa hiyo nukuu ya Biblia tuione kwa macho yetu.
 
Unataka kusema Watu walikuwa hawaendi choo kwa takriban miaka 6 ndiyo sababu nyasi zikaota katika njia ya chooni ??![emoji1787]
Ndio mkuu, sasa mlo mmoja kwa siku utawezaje kuhudhuria msalani mara kadhaa siku
 


Naona kwa mbali Kuna ka ukweli hapa,🤒
 


Madame Saluhu atakuwa mtu wa Suluhu kama jina lake.
 
Angalau Ukumbusho
Leo bibi yangu kaniambia penye jicho la mwanadamu na la Mungu lipo hapohapo. Kama sisi tulivyompenda Mungu aliyemuumba amempenda zaidi

Kweli wazuri hawadumu💔
 

Askofu gani wewe unatetea uliberali mfumo wenye kurahisisha ubeberu kumiliki siasa na uchumi wetu. Wewe mwamakula askofu feki upo kwa ajili ya uroho wako wa kutumika kama kibaraka upewe fedha na mabeberu. Utawala wa magufuli umefanya makubwa kuendeleza uchumi wa nchi na maisha ya watu ila nyie kupiga kelele tu kutetea haki na uhuru wa kipuuzi ambazo hazina tija kwa maendeleo ya watu.
 
Kwa hii historia, Magufuli alirisk sana uhai wake kubeba jukumu la kuhudumia wananchi
Ni upendo
Huo upendo ni upi wakati kila kona watu wanalia hali ngumu ya maisha?Upendo upi wakati watu walipokwa pesa zao kwenye ma bank kwa hila?upendo upi wakati uchaguzi uliopita kura za magumashi kibao?Upendo upi wakati watu walitekwa hovyo?upendo upi miili imeokotwa kwenye maroba?Upendo upi unawaweka watu sero halafu huwapeleki mahakamani kusudi miaka kibao?
Wewe kama ulikuwa mnufaika tafuta namna nyingine yakuishi picha ndio limeshaisha.
 
Kila kona ipi watu wanalia hali ngumu ya maisha?

Pita mtaani uone wapiga kura wake vijana, wababa na wamama wanavyolia kifo cha kipenzi chao Magufuli
Your browser is not able to display this video.
 
Namshauri mwamakula naye agombee kiti cha kisiasa kama Gwajima alivyogombea.
 
Sukari ilipanda bei, mafuta yamepanda beiMara mbili ya bei ya awali , ongezea na vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…