Askofu Mwamakula: Ole kwa Taifa lisilotenda HAKI kwa watu wake! Unamkamata mtu eti upelelezi haujakamilika karne hii?

Umetofautiana nao kina Yehodaya, Kipara kipya, Tujitegemee etc . Hawaelewi na wanadhani mtu kuzungumzia haki ni kumpinga kiongozi wao mtukufu !!!

Angalau Pascal wape elimu hao praise team.
 
Hivi kwa Mwenyekiti wako kutamka hadharani "I wish I could be IGP" ndiko kujikita kwenye fani yako kweli??

Nyiye makada wa Lumumba hakika mmerogwa!
 
Serikali na vyombo vyake unavyovisema vifanye wajibu wao kwa kutenda haki. Na haki ni kwa pande zote . Kwanini mnajisikia vibaya wananchi wakililia haki zao ?!. Je ni kuwa hukuona hata Rais alipotembelea gerezani alilikazania watu kutobambikiwa kesi ?!. Yeye ndiyo kiongozi wa serikali. Je wewe unayepinga ni nani ?!
 
yani wanasikitisha hoja hawana wamebaki kuropoka tuu. viongozi wao nadhani huwa wanapata aibu wakisoma comment zao.
 
Bora ww Askofu umeongea sisi wengine watasema ni uchochezi
 
kazi ya Askofu ni pamoja na kukemea maovu ya waumini wake alichokosea huyo Askofu ni nini?
 

Kwa kweli hoja ya Askofu ni hoja ambayo wengi wenye akili karibia kila eneo imekuwa ikizungumzwa. Unamkamataje mtu na kumtuhumu wakati hujafanya uchunguzi?

Tusizifanye sheria zetu na waendesha mashtaka kama eneo la kuwaonea watu wasio na hatia.

Nchi hii kuna dhuluma nyingi, mojawapo ni hii ya kuwakamata watu wasio na makosa na kisha kuwaweka korokoroni kwa muda mrefu kwa kisingizio cha upelelezi kutokamilika. Kama upelelezi haujakamilika aachiwe huru, akamatwe upelelezi utakapokuwa umekamilika.
 
Una upeo mdogo sana.

Jukumu kubwa la kiongozi yeyote wa dini ni kukemea dhuluma, kukemea uovu, kuwafundisha watu kumjua Mungu wa kweli na maagizo yake, kuwaombea watu. Kiongozi wa dini ni kuhani, ni mwalimu, ni mpatanishi, ni muonyaji, ni hakimu.

Mfumo wa mahakama uliopo leo uliasisiwa na Kanisa. Na kwenye hizo mahakama za kale kwa kutumia Canon Law, mahakimu walikuwa ni makasisi waliokuwa wamesomea Canon Law.
 
Amani na utulivu ndiyo mpango mzima wa na kazi ya Mungu. Huyu Askofu Mwamakula ni Askofu Muasi wa kanisa la Moravian na ile roho ya uasi bado imemkamata, baada ya kuasi kanisa sasa anaingia katika taifa.
Kila mamlaka imetoka mbiguni kwa baba. Namkumbusha Mwamakula kuiheshimu na kuitii na kuiacha serikali ifanye kazi zake kama yeye anavyoachwa kukusanya sadaka kwa maskini.
 
nchi hii bila ya kukatana mapanga hapatakuwa na heshima
 
any way mm si mjuzi wa hizi dini za mitumbwi hizi kumbe hawaruhusiwi kukemea maovu wanatakiwa waseme tu ndiyo hewala baba
Wewe una dini gani ? .....au una abudu nini ?
 
Utasemaje amehujumu kama hujapeleleza? Sheria inayoruhusu watu kuwekwa mahabusu kwa hisia tu, ni ya kijinga, ni ya kikoloni, na wala hatustahili kuwa nayo.

Tunataka Taifa linaloheshimu haki za binadamu na utu wa mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…