Askofu Mwamalanga: Tunalijua genge na kiongozi wake linalompangia Rais nini cha kufanya

Siku zinavyozidi kwenda mbele unazidi kuwa mjinga tu.

Unajizima data hujui kama Kikwete ndio anayeharibu nchi?

Kwa akili zako za kuvukia barabara hujui kama Kikwete ndiye aliyemuibuwa Samia mpaka amefikia Urais?

Ubongo ukiganda udini unakuwa mpumbavu kabisa.
Duh 🙄!!!!
 
Sikuwahi kujua kuwa huyu Big Show ni mpumbavu kiasi hiki aiseee
 
Back
Top Bottom