Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Nimewauliza hapa kuwa alishamalizana na huo msala wa kuzaa na mke wa mtu na kisha akamkana mtoto mpaka mama wa mtoto akataka waende kupima DNA? Mchungaji muhuni tu huyo
Toeni majibu ya swali lake kwanza
 
Huwezi kujua ya sirini hao watu walifanya makosa gani kumkosea Mungu hadi akaruhusu wapitie hayo mabalaa, kwahiyo inawezekana mateso aliyopitia Lissu (ambaye pengine hakumkosea huyo aliyemtesa) ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa makosa aliyomkosea Mungu.
 
Wala hukuwa na haja ya kumuhusisha 2Pac hapa. Maana alichosema hakiendani na mada husika.

The fact is "aliyejaribu kumtanguliza mwenzake kaburini ameishia kutangulia yeye". Kwa hiyo Mshindi hapa ni yule ambaye hajatangulia kaburini.
 
Wala hukuwa na haja ya kumuhusisha 2Pac hapa. Maana alichosema hakiendani na mada husika.

The fact is "aliyejaribu kumtanguliza mwenzake kaburini ameishia kutangulia yeye". Kwa hiyo Mshindi hapa ni yule ambaye hajatangulia kaburini.
Hakuna mshindi hapo maana hawakuwa wakishindana.
 
Uhai siyo ushindi na kifo siyo hasara, halaumiwi aliekufa wala hapongezwi alie hai kwakua hakuna alieamua kwa ujanja wake.

Na uovu wa kumwaga damu pia ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu, ila kifo na uhai siyo kipimo cha ushindi au kushindwa.
Uhai ni ushindi pale yule anayetaka kukuua anapokufa kwa namna yoyote ile. Leo ukiwa unaniwinda uniue, kisha ukafa ghafla (haijalishi umekufaje), kwangu huo ni ushindi. Kwani hofu yangu juu yako wewe kuniua mimi, itakuwa imekwisha. Haijalishi hata kama nitauawa na mtu mwingine wakati mwingine. Ila fact ni kuwa kati yangu mimi na wewe, mimi niliyebaki hai ni mshindi hapa.
 
Kweli kabisa,mshind ni mshindi tu na ndio maana wayahudi walimshinda YEHOVA kwa kumuulia mwanaye mpendwa YESU,si eti mtoa mada?

AU sio baba askofu?
Na yeye alishinda vita kwa kufufuka. Ngoja sasa tungoje tuone jiwe kuu la chato nalo litashinda vita kwa kufufuka!
 
Porojo tu nyingi. Mshindi nibyule aliyetaka kuuawa na asife akatangulia aliyetaka kuua.
 
Wala hukuwa na haja ya kumuhusisha 2Pac hapa. Maana alichosema hakiendani na mada husika.

The fact is "aliyejaribu kumtanguliza mwenzake kaburini ameishia kutangulia yeye". Kwa hiyo Mshindi hapa ni yule ambaye hajatangulia kaburini.
Hao washindi ambao wao hawatakufa ?!!!...., Alichosema 2Pac ndicho kinachotokea sasa Tunatumia rasilimali 'muda' nyingi sana kupambana na aliyekufa wakati waliopo wanaendeleza kufanya yao na walikuwepo pia wakati wa hio so called sekeseke....., (Yaani marehemu ndio alikuwa mchawi, au nyerere ndio alituletea umasikini, wakati waliopo sasa ndio wanaondelea kutuangamiza) Na kwa mchezo huo wa kuwa one step behind hawa wakitoka ndio tutaanza kushughulika nao wakati watakaokuwepo wakiendelea na yao... Tupo page ya Tisa sasa tukiongelea asiyekuwepo wakati waliopo wakiendelea kufanya mauaji ya kutowajibika.... It's well and good ku-deal na asiyekuwepo kama by the way na sio main point....
 
Huyu jamaa aliachiwa kondoo akamla hakubakisha hata manyoya.
 
Hao hawana hadhi sawa na Lissu.
Ooh,kumbe thamani ya uhai wa mtu inaendana na hadhi yake? Kwamba hao wanachama wa CDM waliokufa Arusha kwenye mkutano huna haja ya kuhoji kwa kuwa hawana hadhi kama ya Kiongozi wao?
 
Na hawa sasa ndiyo Think Tank ya CDM wanaotaka wapewe dhamana ya kuongoza Nchi kutuletea maendeleo.CCM hawahangaiki nao maana walishawajulia kuwa wao ni hodari wa kupayuka tu mitandaoni basi,akifa Kiongozi mwingine watamgeukia waanze kumtukana wee huku Ma CCM yakiendelea kugawana keki ya Taifa.
 
Kwani kuna marehemu aliiba kura? Maana askofu hajamtaja mtu!

..hata mimi nasangaa.

..Askofu hajataja jina la aliyepigwa risasi.

..Pia hajataja jina la aliyeiba kura.

..Vilevile hajafafanua anazungumzia uhai kwa misingi ipi.
 

..kwanini mnahusisha kauli hiyo na mambo ya Ccm vs Cdm?

..Askofu hajataja mtu wala chama cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…