Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

ni GODs plan 🙏

Guys tumuache apumzike kwa amani.

Huyo alie hai auchape tu mwendo wake in peace
Unapokuwa duniani, usipoacha watu wakaishi kwa amani, basi unapokufa hawatakuacha uishi kwa amani. Adolf Hitler aataendelea kuandamwa kwa sababu ya mauaji aliyotenda. Magufuli ataendelea kuandamwa kwa sababu ya mauaji aliyotenda. Wapi Ben Saanane? Alifanya kosa gani? Lissu alifanywa nini? Alifanya kosa gani?
 
Uhai siyo ushindi na kifo siyo hasara, halaumiwi aliekufa wala hapongezwi alie hai kwakua hakuna alieamua kwa ujanja wake.

Na uovu wa kumwaga damu pia ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu, ila kifo na uhai siyo kipimo cha ushindi au kushindwa.
[emoji419][emoji375] fact sana hii mkuu
 
Hujajibu swali lake. Jibu kwanza swali lake ndipo tuhamie kwenye mada nyingine
Yote ni maswali na yanahitaji majibu.Vipi alishakubali kulea yule mtoto wa kiume aliyezaa na mke wa muumini wake?
 
Vipi kwa upande wa Mwangosi yeye ushindi wake uko wapo?

Vipi wale watu 5 waliouawa na bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wa machadema pale soweto? Wao ushindi wao uko wapi?

Vipi Dr Ulimboka yeye ushindi wake uko wapi?
Haya yote wanajifanya hawayakumbuki kwa kuwa yalifanywa enzi za awamu ya nne.Pia tuwakumbushe Kamanda Mawazo aliuwawa akiwa kwenye harakati za Kampeni za uchaguzi 2015 na enzi hizo JPM alikuwa bado hajawa Rais.
 
Kuna wachungaji wengi na mapadri hapao nyuma wamekufa sasa hapo walimkosea nani au walimuibia nani?
Nadhani kuna wachungaji akili zao ni za kuchunga fisi na wala sio kuchunga hata ng'ombe
Halafu mchungaji mwenyewe sasa Mwingira anaepigaga Drostdy Hof Dry Red chupa nzima kabla hajapanda madhabahuni
 
Pamoja na masaibu aliyopitia kamanda lissu but kweny hili sidhan kama ni sahihi kulilinganisha on this way!!
Mwingira mlevi huyo anapanda madhabahuni akiwa keshalewa unategemea cha maana kutoka kwake.Mara mia na Mzee wa upako yeye hajifichi anagonga bapa lake na kila mtu anajua.
 
Ina muharibia zaidi yeye kuliko kumjenga kama kiongozi apaswi kutoa kauli Hizo. Anawakwaza waumini wake ambae ni wa penzi wa asiye hai.
Kifo ni foleni
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 26:4
 
Mbona yeye kazaa na mke wa mtu yake hayaoni. Hovyo kabisa
Nimewauliza hapa kuwa alishamalizana na huo msala wa kuzaa na mke wa mtu na kisha akamkana mtoto mpaka mama wa mtoto akataka waende kupima DNA? Mchungaji muhuni tu huyo
 
Vipi kwa upande wa Mwangosi yeye ushindi wake uko wapo?

Vipi wale watu 5 waliouawa na bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wa machadema pale soweto? Wao ushindi wao uko wapi?

Vipi Dr Ulimboka yeye ushindi wake uko wapi?
Hao hawana hadhi sawa na Lissu.
 
Back
Top Bottom