Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Ushindi wake huo unasidia nini wakati atapata chini ya asimilia 20 na rais ni JPM?
Wasije na visingizio vya kuibiwa kura baada ya matokeo, maana Mungu hawezi kufanyiwa hila zozote.
 
Ukikamatwa ubinywe kidogo utaweka ushahidi wa haya madai yako?

Au unafikiri umejificha sana hapa?
Acha kutisha watu kenge wewe, Kama mmeishaua watu mmetesa watu mbadhani tutaogopa kusema?
 
Uhai wa mwanadamu upo mikononi mwa Mwenyezi Mungu, hakuna awezaye kuutwaa bila idhini yake
Kweli kabisa, na chochote anachopanga Mungu mwanadamu hawezi kupangua, hivyo kama Mungu kapanga Lisu kushinda hakuna namna anaweza kuzuiwa. Msije na ngonjera za kuibiwa kura hapa Novemba.
 
Acha kutisha watu kenge wewe, Kama mmeishaua watu mmetesa watu mbadhani tutaogopa kusema?
Nmekuuliza ukikamatwa ubinywe kidogo una ushahidi wa haya madai yako?

Au wewe unahisi hiyo keyboard imekuficha sana?
 
Nmekuuliza ukikamatwa ubinywe kidogo una ushahidi wa haya madai yako?

Au wewe unahisi hiyo keyboard imekuficha sana?
Na Mimi nimekuambia acha kutisha watu kenge wewe, mmetumia mbinu hiii kudhani kuwa mtaweza kutishia watu Siku zoote
 
Tumeagiza Tra wakaangalie lesen zake nadhan zitakuwa na shida

Na ukumbuke kanisa lake liko kwenye hifadhi ya barabara
 
Kweli kabisa, na chochote anachopanga Mungu mwanadamu hawezi kupangua, hivyo kama Mungu kapanga Lisu kushinda hakuna namna anaweza kuzuiwa. Msije na ngonjera za kuibiwa kura hapa Novemba.

Ni vigumu kujua makusudio ya Mungu kwenye jambo. Na Mungu hutenda wakati mwingine kupitia watu wake

Wakiiba watashughulikiwa, na kushughulikiwa huko huenda ni mapenzi ya Mungu ili haki nchini Itawale
 
Kwa Siasa za Tanzania zilivyo Tundu Antipasi Lissu atakuwa ni Mshindani mzuri wa Kisiasa ila Yeye kuwa Rais wa JMT hilo alisahau na asijiaminishe.
 
Naweka Ahadi hapa wana JF siku Lissu akitangazwa nachinja Mbuzi mzima nyumbani kwangu.
 
Ni vigumu kujua makusudio ya Mungu kwenye jambo. Na Mungu hutenda wakati mwingine kupitia watu wake

Wakiiba watashughulikiwa, na kushughulikiwa huko huenda ni mapenzi ya Mungu ili haki nchini Itawale
Hakuna atakayeiba kura, ni tahadhari tu msije na visingizio vya kuibiwa kura kwani ulaghai ni jadi ya chadema.

Tumeshuhudia mwenyekiti mlevi akisingizia kushambuliwa kwenye ngazi za nyumbani kwake pasipo jirani hata mmoja wala mtu aliyekuwa ndani kwa mshambuliwaji kusikia kelele za kuomba msaada.
 
Mchungaji nimemuelewa sana kila jumapili mapema kiti chambele nisikilize neno la Mungu
Nimesikia hiyo audio clip. Mwingira ni mmojawapo wa waathirika wa utawala huu dhalimu. Benki yake ya EFATHA ilifungwa na serikali. Shughuli zake nyingi sana zimekwama, sidhani kama atakaa aupende utawala huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…