Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Ukitawala kikaksi, kishamba ndo matokeo yake hivo, watu wanakushangilia na kukupa sifa coz you have power ila ndani ya mioyo wana jambo Lao, ask the mugabe happens
 
Huna hofu ya Mungu wewe
Biblia inasema barikini na Wala msilaani
Na pia inasema msiuhukumu maana mtahukumiwa
Sasa wewe ujasiri was kulaani unautoa wapi halafu unasema eti mshika dini
Na Tena unahofu ya Mungu
 
huwa namsikia ila kidogo nimemheshim japo simkubali Sana ,Kama mtu mwenye kibali japo sijaanza kitumia so lissu kua makini ,mungu asema sio mie ndugu, tz Kwanza mengine badae asema bwana mwenye nchi yake
Mungu ibariki tz
 
Ukifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Acheni kudanganya watu nyie
Lisu Sio binadamu amekuwa Mungu?
Eti anaejaribu kupambana nae
Kumbe nyie ndii mnamharibu akili huyo lisu wenu
Hahahahaa duuuh
Anapambana na upepo huyo
Magu hawwzi kupambana na mtu Kama huyo
 
Mka mda sio jpm au lissu anahitaji sifiwa, bwana atamsia Kila mmoja kwa mda wake ,asema na sio maneno yangu,so Kila mmoja
 
Acheni kudanganya watu nyie
Lisu Sio binadamu amekuwa Mungu?
Eti anaejaribu kupambana nae
Kumbe nyie ndii mnamharibu akili huyo lisu wenu
Hahahahaa duuuh
Anapambana na upepo huyo
Magu hawwzi kupambana na mtu Kama huyo
Lissu sio binadamu na sio Mungu
 
Huna hofu ya Mungu wewe
Biblia inasema barikini na Wala msilaani
Na pia inasema msiuhukumu maana mtahukumiwa
Sasa wewe ujasiri was kulaani unautoa wapi halafu unasema eti mshika dini
Na Tena unahofu ya Mungu
Aaah wapi laana ipo soma Kumb 28:15 mpaka mwisho wa hiyo chapter ndiyo ujue maana ipo tena mbaya.
 
Utopolo ulikuwa wapi siku zote? Baada ya haya ndo mnaibuka na vistory vyenu vya kutengeneza?
 
He is a failure, you cannot make him victor. Mark my word, he will never ever become even close to becoming the president of URT, after 2020 he will be a famous begger in Singida.

Unaota wewe. Kaa hapo usubiri uapishwaji wake. Tundu Lissu ndio Rais wako.
 
Lowassa alitabiriwa na TB joshua,wacha tusubiri utabiri wa Nabii wa kingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…