makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 499
Huyo ni Askofu na Nabii wa Mungu maneno yake siyo ya kupuuzawa
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
Kiongozi umesikiliza kabla ya kuchangia??? Au unaona sifa na comment zako za kashfa??
Mmh hao maaskofu sku hizi ni wanasiasa?
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
Kuna walokole walutheri pia.... Mfano mwepesi Mwalimu Mwakasege ni Mlutheri na mlokole...Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Mi sijui?
Huyo ni Askofu na Nabii wa Mungu maneno yake siyo ya kupuuzawa