BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Na unabii usipotimia itakuaje? Anatuahidi nini? Au tumwiteje?
Wanaishi kwenye nyumba hizo za makuti kwasababu ya unyonyaji wa serikali ya CCM kutokutoa fulsa za kimaendeleo kwa watanzania hao. Vinginevyo wangejenga tu.Kuna waumini wa Efatha wa hapa wilayani kwetu walienda kwenye kusanyiko Precious Centre - Kibaha mwaka 2011 walitoa ushuhuda kanisani kwamba Mwingira amewatabiria kwamba watajenga na kumiliki magorofa. Mpaka sasa wanaishi kwenye nyumba za makuti!
pombe pombe ni mkatoliki or muslim or protestant!!?Kumbe ni dili la walokole wameungana na waprotestanti? Shughuli mwaka huu; na tuone kama kura zao zitatosha
Hii audiio ni ya kweli. Hivi siku wakija waislamu nao kudai utawala wa kuruani Tz patakalika? Mi nadhani ajenda kama hizi zilitakiwa zikae vichwani mwao tu kani kazi aliyoifanya Yeshua ni kubwa sana hatuna haja ya kusikia mchungaji kasema nini, kwani enzi hizo zilishapita.Mod. afute huu uzi."amepost upotoshaji mkubwa
na kumsingizia askofu mwingira.
Kuthibitisha hili hiyo audio ina empty content.
Sheria ya mtandao ichukue nafasi yake!!!!"
Mod. afute huu uzi."amepost upotoshaji mkubwa
na kumsingizia askofu mwingira.
Kuthibitisha hili hiyo audio ina empty content.
Sheria ya mtandao ichukue nafasi yake!!!!"
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Huyo ni Askofu na Nabii wa Mungu maneno yake siyo ya kupuuzawa
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Mod. Futa huu uzi."amepost upotoshaji mkubwa na kumsingizia askofu mwingira.
Kuthibitisha hili hiyo audio ina empty content. Sheria ya mtandao ichukue nafasi yake!!!!"