Uchaguzi 2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

Mie napita tu Mkuu.
 
Mie naamini dua zetu zimejibiwa na muumba. tusubiri muda utasema!
 
Kusikia kwa KENGE ni mpaka Damu itoke masikioni....
 
Pipoooz
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chadema kinatia huruma kutoka kuombewa Dua na masskofu wenye hadhi Kama Kakobe na Gwajima Hadi kuombewa Dua na Askofu mwamakula mwenye kanisa la mfukoni na shehe ubwabwa Katimba
Ili maombi yakubaliwe na Mungu mwombaji anatakiwa awe msafi asiye na mawaa(dhambi) hata akiwa mdogo vipi, duni kiasi gani.
Mungu humsikia huyo. Isaya 66:1-
Mkuu Yehoyada kuwa makini utakuja laanika kwenye laana isiyokuhusu.
Kama Jambo hulijui kaa kimya.

Ukiona mtu amezungumzia Jambo la kiroho linalomuhusu Mungu, au yeyote anayemtumikia Mungu, kuwa makini Sana kucoment labda uwe na uhakika sana.
 
Hakuna impact yoyote ya dua wala sala/maombi yanayoweza kufanya chochote. Walipiga dua miaka ya 95 na mpaka 2030 zitapigwa dua..na hakuna kitakacho tokea
Watu wengi msiomjua Mungu unafikiri kuwa, Ikiombwa dua Basi Jambo hutokea Mara kama vile Elia alivyoomba Moto ukashuka, au enzi za sodoma au Nuhu.

Mungu anasema huwa hachelewi Wala kuwahi kujibu.
Kibaya zaidi watu yanapotupata mabaya huwa hatujihoji kwanini yananipata haya!
Kumbe mengi mabaya yanatokana na mabaya tunayofanyiana. Mungu ana laani
 
Ameen.. Imeisha hiyooo... Takbiiiirrrrrr..!
Tumeomba sana na InshaaAllah M/Mungu alie HAI atatuondolea yeye na mavi yake.

Huwezi kututukana Watanganyika kila unavyojisikia kisa tu ni WANYONGE.
Nenda Jehanamu ukachomwe ulimi wako MCHAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…