Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.

If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.

go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!

Upuuzi wao wakafanyie huko huko ksnisani, mchochezi mkubwa huyo askofu, amekosa shughuli za kufanya
 
Upuuzi wao wakafanyie huko huko ksnisani, mchochezi mkubwa huyo askofu, amekosa shughuli za kufanya

wewe unasema ni mchochezi na hana shughuli za kufanya kwa sababu uelewa wako ni mdogo kama waliopendekeza katiba. Sisi tuko naye.
 
Ningetamani na madhehebu au dini nyingine nao watoe matamko ya kuhamasisha waumini wao kukataa Jarida pendekezwa.
 
Jina la Bwana lihimidiwe kuona viongozi wetu wakiroho wakisimamia kikamilifu uadilifu
 
Naona anazidi kushawishi TEC
 
Naona anazidi kushawishi TEC

Tanzania tuna asili ya kujali utu, amani, upendo, ukarimu vitu ambavyo nchi yetu inaviheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa lulu hii angavu nchini.

Hekima ya Mungu ni ya muhimu, lakini nasi kama Watanzania tuache ushabiki ambao hauna manufaa kwa nchi yetu, tuzingatie msingi wa kuheshimiana. Mabadiliko ya utunzaji wa amani yanzie kwetu ili kuendeleza tunu ya amani iliyoasisiwa na Wazee wetu J.K. Nyerere na Abeid Aman Karume.
 
Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge

Rulenge n kigoma mpaka na burundi cndio?hyo askofu asituletee walisababisha vita y kimbali hawa,cc sio watoto wadogo watuache tutaisoma katiba wenyew afu ndo tuamue kama n ndio au hapana hatutaki kushinikizwa
 
Mchangiaji mwenzangu Tunkamanini nimeuona mchango wako sio mzuri sana japo kwako unaona uko sawa uliqhonisikitisha mimi ni kuyataja maeneo ya nchi yako ya Tanzania hasa Kigoma na Lulenge ukihusisha na Burundi kuwa walisababisha mauaji ya kimbali, kwa hili umeKoseA sana na unatakiwa uombe radHi kwa kuitusi Tanzania yEtu tunayoipEnda,ENeo lolote la Tanzania halikuhusika na kimbali kama unavyowaza na ukiendelea na mchezo wako huu wa kuchangia kwa hisia itakugharimu sana jifunze kuwa na uvumilivu na kuchagua maneno ya kuongea!
 
Jina la Bwana lihimidiwe kuona viongozi wetu wakiroho wakisimamia kikamilifu uadilifu

Hao wanakimbia agizo kuu la Bwana Yesu la kuhubiri Injili ili watu waokoke sasa wanaingia kwenye siasa completly na
kumuachia shetani makanisa yao ahubiri injili hayo mambo yana kiasi, hata Paulo mtume aliwaambia wakolosai wawe wavimilivu,wenye hekima, wenye kusameheana, kiasi, utu wema na mambo kadha wa kadha wakiyahubiri haya kwa nguvu zote taifa litapona na wala hatutawaona wakiingia kwenye siasa, hapa suala ni viongozi wa dini watimize wajibu wao kikamilifu.
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

Atakuwa na matatizo ya kiakili huyo, kuhubiri Injili kumshinda sasa anaamua kuingilia kwenye siasa, basi atangaze na nia ya kugombea Urais
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

Mimi sina ugomvi na askofu Niwemugizi wa Lulenge kufuatia taarifa niliyoisoma,namshauri achague kufia msalaba kuliko katiba maana akifanya hivyo atahukumiwa baada ya kufa kwa kuchepuka kwenye agizo kuu la Yesu la kuenenda ulimwenguni mwote kuihubiri Injili na kuwafanya watu kuwa wanafunzi wake!
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Urakozee baba Niwe Mugizi endelea na moyo huohuo kutetea ukweli

Miss gisenyi uhaye umubwila Niwemugizi alakoze chane kukikogwa kite choyakoze?acha kutupotezea muda ugambe nku muntu afise ubwenke!usipende kudandia mada usiyoiju imetoka wapi viongozi wa dini kuanza kushabiakia siasa na kuingilia masuala ya serikali na kuwaamulia wananchi sio sawa na hili halikubaliki?
 
Hata kule Rwanda ni maaskofu ndio waliochochea mauaji ya kimbari

hatutawapa fursa watuletee ya Rwanda,,,, somo la Rwanda linatosha kabisa... hata ukiangalia matamko yao yamekaa kishari shari tu
 
Miss gisenyi uhaye umubwila Niwemugizi alakoze chane kukikogwa kite choyakoze?acha kutupotezea muda ugambe nku muntu afise ubwenke!usipende kudandia mada usiyoiju imetoka wapi viongozi wa dini kuanza kushabiakia siasa na kuingilia masuala ya serikali na kuwaamulia wananchi sio sawa na hili halikubaliki?

Wanachunga kondoo kiroho na kimwili kaka huwezi chunga roho tuu mwili ukauacha upotee wanaangalia wellfare ya kondoo zao hata kimwili pia,katiba yetu inatungwa haitabadilishwa tena mpaka muda upite bora tupigane tuwe na katiba nzuri
 
Back
Top Bottom