Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Nani kampa huo uaskofu wa watu. Hajapigiwa kura na yeyote kuwa askofu wa Rulenge.Hajui hata maana ya kura huyo.Kawekwa tu kwa mfumo dikiteta wa kanisa katoliki ambao hauwapi waumini nafasi za kupigia kura maaskofu wao.
Mtu ambaye amewekwa bila kura siasa za kura kazijulia wapi? Akome kabisa.Kama ana cha kuhamasisha akahamasishe kanisa katoliki kuwa Maaskofu wawe wanapigiwa kura na waumini kuwa maaskofu badala ya mfumo wa sasa wa kidikiteta.
Akatoe boriti kwenye jicho la kanisa lake kwanza.
Mkuu we ni Ignorant wa Imani ya kikatoliki.Au ulitaka wafanye uchaguzi kama wa wabunge.ili.mchakachue imani za watu imekula kwenu.Kanisa katoliki ni Strong institution zaidi ya uijuavyo.