ngwanamisuka
Member
- Feb 11, 2011
- 33
- 3
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuhamasishwa na kuleta vurugu, Wakristu wamepewa ushauri wa kiroho na wanajua kuchagua mbivu na mbichi. Huo ushauri una mashiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi amehubiri kipi cha vurugu kusema ati ataendesha kazi ya kupinga yale ambayo SISI WATANZANIA WENGI HATUAMINI AU?????????????? Najiuliza hivi mnasense kweli nani analeta vurugu kusema ukweli au USITISHE WATU NDIO MAANA TUNAJENGA USUGU EBU anagalia kule waalimu POLISI WALICHANA MABANGO LIKAIBUIKIA KWENYE SHAIRI!!!!!!!!!!! Use your common sense though not so common SIMPLEHaitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Kanisa la Mitume la Katoliki lina utaratibu wake elewaaaa si hatujengi maaskofu BALI MUNGU ANATUTEULIWA SABABU HILI SI KANISA LA FULANI NI Kanisa Takatifu la Mitume ni la wote UNIVERSAL CHURCH. Askofu Niwe Mugizi leo anaweza kuteuliwa akaongo Uganda, Marekani, Vatican and so on..... si changanye mambo kama hujui kaa kimya my dear...Kusimamia haki ni pamoja na kuhakikisha waumini wanakuwa na haki ya kuwapigia kura ili kuwapata maaskofu wao akiwemo yeye badala ya kuletewa tu.Hilo kafika nalo wapi?
huna ubavu wa kumwambia kipenzi wa Watanzania wapenda ukweli Askofu Niwe Mugizi. Watanzania tutasema HAPANA KATIBA YA KIFISADI kwanaza mjitayarishe nchi kufilisika maana hela mlio kula itawatokea puani tuuuuuuu:A S 11:Sijamtishia hapa mtanzania yeyote nimemwambia NIWEMUGIZI mwenye jina la kitusi toka rwanda
tunatayarisha hospitali ya Mirembe ili mambo yatakofunuliwa hakika aliyesema haya zitamruka tuuuuu!!!!!!!!!!!:A S wink::deadhorse:Muwe waangalifu baadhi nyaraka zinazosomwa makanisani ni upuuzi tu si za kiroho Samuel Sitta
Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.
If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.
go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!
hili jina la huyu askofu lina walakini..
mbona limekaa kama ni BANYAMULENGE!!!! NA SIO AJABU YUKO KWENYE PAYROL YA PAUL KAGAME. na ni wazi ana hasira na JK kwa sababu ndugu zake wamehamishwa kurudi kwao na yeye alikuwa ni miongoni mwa wafaidika na wahamiaji haramu. asitake kutuletea ya rwanda na jinsi ukatoliki ulivyoratibu maangamizi ya watutsi. hapa atachemka na hilo tunamuahidi
Huyu askofu kanisa lake limejaa walevi wazinzi wezi nk
Na akaifanye kazi yake na si kuingilia yasio muhusu
hahaaaaaaaa. na wewe ulikulia kanisani nini???ewe binti mdogo jitulize ungo wenyewe umevunja hata miez 3 haijapita!
Chakondika
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.
Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.
Huyu askofu kanisa lake limejaa walevi wazinzi wezi nk
Na akaifanye kazi yake na si kuingilia yasio muhusu
Wewe ni kipofu tu,unashabikia upumbavu watakuelewa wapumbavu wenzako.Alisema Prof.Kabudi,wapumbavu hushupaa na kujaa kiburi.Ndo ninyi,ipo siku nchi hii mtaiona chungu.Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Dull minds always talk about people while intelligent minds discuss issues. Si ajabu tumepata katiba iliyosheheni takataka ndani yake kwasababu BMK lilijaa Wajumbe wenye akili kama zako!hahaaaaaaaa. na wewe ulikulia kanisani nini???
vijana wengi mliolelewa na hawa maparoko,mapadri na maaskofu TABIA ZENU TUNAZIJUA..POLE SANA