Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

We Makonda hivi akili zako unazitumiaje? Kwa hiyo kila anayepinga CCM ni Chadema?
labda kwanza ashuke kwenye mimbari ya kanisa na kujiunga na hiyo cdm yake. akijaribu tu kuendesha hiyo kampeni na kanzu ya uaskofu ndio atajua hapa sio rwanda.
 
Wewe unajua asili yako ni nani? Na nani kakuweka kuwa afisa uahmiaji kujua nani raia halisi na muhamiaji
huyu askofu kwanza mkimbizi wa rwanda. usikute anafanya kazi ya kagame. askofu mzima unafunga kibwebwe kupinga jambo la kisiasa ambalo linakubalika na mamilioni ya wananchi....lazima kuna jambo!
 
Stupid ideas from a stupid mind!
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

Chabruma,acheni kuwapumbaza watanzania kuwa kukataa katiba ni kuleta vurugu na uvunjifu wa amani. Rais wenu kawahimiza wajumbe wa BMK kuwa waende kuwa mabalozi wa kuihubiri katiba yao kwa wananchi ili waikubari! Unataka kuniambia hao watahubiri amani kwa kuikubari!? Nonsense! Kupiga kura ni NDIYO na HAPANA na kila mtu afanye ushawishi awezavyo kwa upande anaoamini kuwa ni sawa kwake! Mfano mimi ni HAPANA hata kabla ya Askofu Niwemugizi. Acheni kutulaghai na msiwaogopeshe watu wakati upuuzi wote mmeuanzisha nyie. Mnajifanya mna mandate na Tanzania,shame on you!
 
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.

Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.

Craaaap!
 
angalieni linyani hili la kike nalo likitoa maoni. ivi wewe chabruma aka makonda wa uvccm huoni nchi nzima ikilia mchakato huu kufanywa na ccm kwa manufaa ya ccm haifai na wewe unakejeli. kweli makonda hufai hata kujumuika katika jamii ya wtatanzania

Kwani ni lazima hulka yako ya kibaguzi uieneze hadi kwenye matusi. Yaani likiwa ni nyani "la kike" ndio tusi linakuwa kubwa zaidi..au? Unakuwa kama huna mama au dada au mke. Hakika ubaguzi umekuathiri pakubwa...! Pole sana..!
 
Kasahau Wito wake, Yuko radhi kupoteza Waumini kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa siasa. Hii ni laana nadhani, Hata Roma ilianza kuporomoka kwa mtindo huo. Anadhani waumini wote wanamuunga mkono?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyu Askofu alikuwa wapi kuwashauri UKAWA wapambane bungeni, lakini sishangai hawa Maaskofu wanashiriki sana machafuko hata Rwanda tuliona.
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
Huyu Askofu Niwe anajulikana ni mfuasi wa Chadema.
 
Haina shida kabisa wananchi sie yetu kura cha muhimu tutumie kura zetu vizuri. Vinginevyo tutakuwa tunalalamika mpaka tunaingia kaburini.
 
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
Mbona mnajitia hamnazo sababu ya posho mlizopata na mtatuletea tutakula halafu KATIBA HAPANA. Tulipendekeza mawaziri wasiwe wabunge, mbunge awe na kikomo 2 terms na JAJI MKUU AFANYIWE USAILI KAMA KENYA na imeisaidia nchi hiyo SASA KWANINI NIPIGIE KURA KATIBA AMBAYO IMEKATAA MAONI YANGU LAKINI KATIKA RASMU YA WARIOBA ILIKUWEPO!!!!!!!!!!!!!!!HONGERA MWANASHERIA WA ZANZIBAR NA ASANTE BABA ASKOFU TUKO PAMOJA USIRUDI NYUMA
 
Kasahau Wito wake, Yuko radhi kupoteza Waumini kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa siasa. Hii ni laana nadhani, Hata Roma ilianza kuporomoka kwa mtindo huo. Anadhani waumini wote wanamuunga mkono?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
NADHANI WEWE HUIJUI VATICAN NDIO MAANA UNAONA HAYO..................Nakukumbusha kidogo Marekani ni wababe sana lakini Rais wa Marekani anaomba sala toka kwa Baba Mtakatifu sasa leo unandika uupuzi huu ....pole sana Askofu Niwe Mugizi aluta continua.....................
 
Back
Top Bottom