MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
Kumbe EL naye haitaki hii rasim? Sasa mbona kaenda Dom? Anafanya nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
Kumbe EL naye haitaki hii rasim? Sasa mbona kaenda Dom? Anafanya nn?
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
unafikiri hao wanausalama wanatoka wapi?? Rais wako na mwenyekiti wa chama chako mwenyewe alienda vatican kutambika,
Mchango wao kwenye mambo ya usalama unajulikana sana lakini sio excuse ya maaskofu wachache kuutumia vibaya kuvuruga nchi please.
Iko haja ya kuheshimiana na kuujali mipaka ya utawala. Kila mtu aangalie mipaka yake inaishia wapi.Nadhani naeleweka.
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Inamaana!
Naona mnakariri muda wote!! Mipaka ya Utawala ni ipi kati ya maaskofu na hao watawala washupavu??!!
Askofu atangaza kufia katiba
Aliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
Wanajua utawala wao wa kiaskofu mwisho wake ni kwa wakatoliki wa maeneo yao ya uaskofu na sio watanzania wote nje ya maeneo yao ya uaskofu wawe wakatoliki au wasio wakatoliki.Na makanisani mwao kitabu chao kikubwa ni MISALE YA WAUMINI NA BIBLIA SIO KATIBA.
Nani kampa huo uaskofu wa watu. Hajapigiwa kura na yeyote kuwa askofu wa Rulenge.Hajui hata maana ya kura huyo.Kawekwa tu kwa mfumo dikiteta wa kanisa katoliki ambao hauwapi waumini nafasi za kupigia kura maaskofu wao.
Mtu ambaye amewekwa bila kura siasa za kura kazijulia wapi? Akome kabisa.Kama ana cha kuhamasisha akahamasishe kanisa katoliki kuwa Maaskofu wawe wanapigiwa kura na waumini kuwa maaskofu badala ya mfumo wa sasa wa kidikiteta.
Akatoe boriti kwenye jicho la kanisa lake kwanza.
Wakatoliki hao sio watanganyika na pia hao maaskofu pia sio watanganyika!! Una kiburi cha duniani!!!
Wewe kweli mpumbavu inatosha tu kukwambia hivyo.
Nchi inayoheshimu taaluma kwenye masuala ya kilimo,mtaalamu wa kilimo atakuwa ndiye msemaji,Kwenye ualimu mwalimu na Kwenye dini kiongozi wa dini atakuwa ndiye msemaji,lakini nchi iliyovurugika ukikuta askofu anaongelea siasa anaacha kuongelea dini basi ujue ni wakati muafaka wa kufungua wodi nyingi zaidi za vichaa za kulaza watu wa kawaida na maaskofu.
'Ee mungu wangu ninasadiki MANENO YOTE linayosadiki na linayofundisha KANISA KATOLIKI LA ROMA kwani ndiwe uliyefunulia hayo, nawe hudanganyi wala hudanganyiki, amina' (Katekismu ya Kanisa Katoliki, sala ya Imani).
Jaji Warioba mwenyewe ni Mkatoliki. Acha kuropoka utachekwa!Ingekuwa anaifia dini ningeelewa lakini kuapa kuifia katiba iliyotengenezwa na binadamu ni ukafiri uliopitiliza.Huyu askofu hajui dini.
Hivi kuna mfia katiba mtakatifu hata mmoja katika kanisa katoliki?
Kwa hiyo msemaji wa taaluma hata kama akiboronga hao maaskofu watakaa kimya wakiogopa kuwa upande wa siasa! Wewe kweli mshupavu!
Jaji Warioba mwenyewe ni Mkatoliki. Acha kuropoka utachekwa!