Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Namuunga mkono nasubiri siku ya kupiga kura ya hapana mimi na familia yangu
 
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.

Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.

acha uchochezi na mikwara ya kitoto, kwani amewaambia watu wakapigane??
 
Wana waumini kibao makanisani wanaojua siasa wawaachie hao wao maaskofu waendelee na kazi zao za dini.

Na wasiasa na wewe mliwemo mkiendelea kukwida rasilimali za nchi! Maaskofu wanawalea kiimani wakae kimya! Hivi huwa mnaamasisha hao viongozi wa dini kuombea amani ya nchi kwa nini hasa! Vipi mnashindwa kutofautisha siasa na dini; au tu ni kwa sababu wanakuwa upande wa kuwasaidia muomore kwa bidii kwa amani fake!!
 
Hawa Wazee wa DOGMA utawaweza?
Nadhani huyo ndugu yake na CHABURUMA, hatambui wala hafahamu kuwa kanisa katoliki lina mifumo mizuri ya kuwapata viongozi kuliko hata mifumo ya kisiasa. Alafu kuhusu KURA NA UPIGAJI KURA KUWAPATA VIONGOZI, AKASOME KITABU CHA WALAWI NA SAMWEL VITABU VYOTE VIWILI AONE JINSI AMBAVYO VIONGOZI WALIVYOPATIKANA. SIYO ANAKURUPUKA TU.
 
Tunapaswa tuwe makin na hawa watumishi wa Mungu wasije leta machafuko tz
 
Nadhani huyo ndugu yake na CHABURUMA, hatambui wala hafahamu kuwa kanisa katoliki lina mifumo mizuri ya kuwapata viongozi kuliko hata mifumo ya kisiasa. Alafu kuhusu KURA NA UPIGAJI KURA KUWAPATA VIONGOZI, AKASOME KITABU CHA WALAWI NA SAMWEL VITABU VYOTE VIWILI AONE JINSI AMBAVYO VIONGOZI WALIVYOPATIKANA. SIYO ANAKURUPUKA TU.

Soma kwanza hapa: Kutoka 20:4-6

'4. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. 5. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi. BWANA Mungu wako, ni Mungu wenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, 6. nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.'
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
huyu askofu kwanza mkimbizi wa rwanda. usikute anafanya kazi ya kagame. askofu mzima unafunga kibwebwe kupinga jambo la kisiasa ambalo linakubalika na mamilioni ya wananchi....lazima kuna jambo!
 
Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge
labda kwanza ashuke kwenye mimbari ya kanisa na kujiunga na hiyo cdm yake. akijaribu tu kuendesha hiyo kampeni na kanzu ya uaskofu ndio atajua hapa sio rwanda.
 
Hahahahahahahaaaaaa! What time are you talking about.

We chekelea kinafki but kumbuka huyo unayemnanga siku akiuchukua ukuu wa nchi utakihama chama na nchi!Juzizi tu hapa mambo yapokua moto ulikimbia Nikushaur tu Mdogo wangu makonda kua na siasa za kistaarabu, itazame baadaye yako!
 
Ingekuwa anaifia dini ningeelewa lakini kuapa kuifia katiba iliyotengenezwa na binadamu ni ukafiri uliopitiliza.Huyu askofu hajui dini.
Hivi kuna mfia katiba mtakatifu hata mmoja katika kanisa katoliki?

pombe east A. askofu kusema yuko tayari kufa ni b/cos anajua siku hizi ukijaribu kuipinga CCM wanakuua hivo anajua anapoanika ukweli maisha yake yako rehani. Askofu ama mtu yeyote anawajibu wa kuelimisha jamii juu ya mambo yasiyofaa.
 
Mimi sijaelewa, hivi ASKOFU ndiyo ana ufahamu wa waumini mpaka awahamasishe waikatae Katiba? waumini wenyewe hawawezi kuisoma Katiba na kutambua kama inafaa kupigiwa kura ya ndiyo au hapana?

WANASIASA kwa wananchi je? kwani mwanasiasa ndo anajua kuliko wananchi?. Mkuu Lila na Fila hawatangamani.
 
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.

Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.

Ni ujinga kufikiri kuwa askofu aliyeko nchini hata kama ni wa kigenli hawezi kurusha mawe na kutembeza nondo!
 
Mawazo finyu ya kukimbilia mauaji. Hiyo ndiyo tabia yenu MaCCM kuua watu na kusingizia Katiba. Kwani ukipingwa lazima uue watu? Kwani ukipigiwa kura ya hapana lazima utumie majeshi. Watu wenye mawazo ya namna hiyo ndiyo wauaji wakuu. Vurugu mnazianzisha nyie mnaovuruga mapendekezo ya watu na kuweka ya kwenu
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.

Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.
 
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.

safi sana mh.askofu tuko pamoja na hakika sauti yako ni sauti ya mungu.ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom