Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

kweli umekosa adabu kweli wewe........................ukikosa cha kusema kaa kimya pubafu xana wewe!!
 
Askofu tunakuahidi tuko pamoja hata kwa mauti siyo siri nchi hii hata kufa na kuishi ni sawa tu! maana duh kweli kuna mungu watu wanataka wao tu waishi kama mbinguni mpaka kufa kwao kupitia chama chao cha ssm
 
tupo pamoja askofu wewe ni mfano wa DESMON Tutu wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika Kusini, go ASKOFU go!!!!!!!! sisi waumini wako tumeshaona haki yetu imekanyagwa tupo pamoja nawe. Wanaotaka kuleta vita ni CCM.
 
Msipotoshe watu,askofu kama mtanzania yeyote yule mwenye dhamana ya kuhakikisha haki zake na za wengine zinalindwa,ameamua kuwaelimisha watz kukataa takataka zenu na Sita.
Wala hakuna maslahi ya ukatoliki anayoyalinda,bali maslahi yetu watz ambao rasimu yetu mmeiweka kapuni,mkaja na hiyo takataka yenu mnayoichezea ngoma huko Dom saa hizi.

Hivi tume ya Warioba iliundwa na kanisa katoliki?
Hivi wabongo mtaacha lini siasa hizi za majitaka hata kwa vitu sensitive kama katiba?
Nyie watu ni hatari sana!

Lengo lako hapo ni kuonyesha Askofu anapigania maslahi ya ukatoliki,ili tusio wakatoliki tusimsapoti,mtengeneze mgawanyiko kwenye jamii kubwa isishikamane,halafu nyie jamii ndogo ya kifisadi mlioshikana mshinde.Mbinu za kijasusi chafu hizi,tumezistukia,tumewachoka,kawaambieni waliowatuma humu mitandaoni,watz tumejitambua.
Ingia Google utamkuta huyu Askofu Niwe ni hatari
Mambo yake yote ni kuipinga Serikali na Chama Tawala
Kwanini asihamie kabisa CHADEMA km Slaa
kwanini asijiunge na Papa mstaafu Benedict aliyekataa kuchanganya DINI na mambo ya Dunia (watoto kulawitiwa na mapadri? Mapadri waseja kuwadungua waumini na masista?)
Yeye anataka Siasa wakatu ana asili ya Nchi jirani, anataka kutuletea yaliyotokea Rwanda?
asitumie madhabahu kuzungumzia Siasa (KATIBA)
yeye akemee uchafu kanisani kwake kwani imekatazwa

YA KAISARI MPE KAISARI NA YA MUNGU MPE MUNGU
 
Tanzania ni ya wote ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini. Kila raia ana haki ya kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria, hata viongozi wa dini ni raia hivyo wana haki kutoa mawazo yao kwa umoja wao hata kwa kila mmoja. Katiba inaposema sasa ni asilimia 50 kwa 50 isiishie hapo itueleze na utaratibu wa kupata hiyo 50 kwa 50. Rasimu ya Warioba iliweka wazi jinsi ya kufikia 50 kwa 50. Kwa utaratibu wetu kila jimbo lina mbunge mmoja, je unataka kutuambia kwamba kama jimbo 'Y' mbunge wake ni mwanamume jimbo 'X' lazima awe mwanamke hata kama hakubaliki. Utaratibu huu unaishia kwa wabunge na madiwani tu au ni kwa maeneo yote hata ya kitaalamu. Tunataka katiba itoe muongozo wa jinsi ya kufikia 50 kwa 50, isikae kimya. Nafasi ya mwananchi mpiga kura iko wapi. Tukumbuke tuna vyama vingi hapa utaratibu unakuwaje kuwapata wabunge wanawake kutoka vyama mbalimbali ambavyo ni pinzani. wanawake wasifuhie kupata wabunge wengi kwanza waulize utaratibu unakuwaje. Mimi naamini kwa utaratibu tulionao 50 kwa 50 haiwezekani.
 
Ndipo mnapoambiwa KATIBA ni Maridhiano sio uBABE kwani NCH zilizovurugika zimeanzaje ni sababu ya watawala na wapambe kujifanya wanajua zaidi,,,!! Mwisho wa cku inatumika gharama kubwa kuponya majeraha wakati hapa mwanzo ipo.nafasi yakutosha kurekebisha hilo
ww na mwenzako @juve2012 naona akili zenu kisiasa bado zipo katika vurugu km Askofu wenu NIWE MUGIZI wa Rulenge
Ni Mada ngapi humu JF tumezijadili kuhusu ubabe wa huyu Askofu
km mnashindwa kutumia search engine basi
Raia Mwema - Nini kimebadilisha mwelekeo wa Kardinali Pengo?
Soma habari hiyo uone Askofu Pengo alivyokemea tabia ya Mhubiri huyu aliyeweza kuibomoa kazi ya Askofu aliyemtangulia Askofu Mwoleka
Hivyo mahubiri ya Mwadhama ya "Unabii si kubomoa", na kwamba si lazima Askofu kubomoa yale aliyoyakuta, angemwambia Askofu Severine NiweMugizi. Maana, kama tulivyoshuhudia wote, alibomoa hata kuta zilizokuwa imara, na mbaya zaidi kubomoa bila hata kujenga kitu chochote kingine.
Pamoja na kelele zote zilizopigwa juu ya uharibifu aliokuwa akiufanya Askofu Severine Niwemugizi, Mwadhama Kardinali Pengo, alikaa kimya. Hakukemea
- See more at: Raia Mwema - Nini kimebadilisha mwelekeo wa Kardinali Pengo?
Pamoja na kelele zote zilizopigwa juu ya uharibifu aliokuwa akiufanya Askofu Severine Niwemugizi, Mwadhama Kardinali Pengo, alikaa kimya. Hakukemea
Mapadri walilalamika, walei walilalamika, masista walilalamika; lakini hakuna lililotendeka. Askofu Severine, aliachiwa huru kuendelea kuvunja kuta zote na kubomoa hadi kwenye msingi.
Hivyo sauti ya Mwadhama Kadinali Pengo inaposikika leo wakati wa kukusanya na kujenga upya, ni lazima kila mtu ashangae na kulazimika kuutafakari ujumbe wake kwa umakini mkubwa.
Baada ya Askofu Severine NiweMugizi kuivunja Jumuiya ya Mkamilishano, ambayo iko kwenye maeneo ya jimbo jipya la Kayanga, hakufanya kitu chochote kipya Wilaya ya Karagwe. Sasa ni miaka kumi imepita, Karagwe ikiwa bado inajivunia vitu alivyoviacha marehemu Askofu Mwoleka ambavyo havikuvunjwa; yaani mashule, mahospitali, makanisa nk; japo uendeshaji wa vitu hivyo unayumbayumba.
 
Mhashamu Askofu NiweMugizi umesema vema sana. Ni mlemavu wa akili tu atakayekupinga. Lakini hata huyo mwenye mtindio wa ubongo ataelimishwa na muda utakapofika. Time will tell. Muda huo hauko mbali iwapo katiba hii ya Samwel Sitta italazimishwa kupita kwa mabomu ya polisi na maji yao ya washawasha au hata kuiba kura kwenye sanduku la maoni ya wananchi. Katiba haiwezi kutengenezwa bila ya maridhiano juu ya muundo wa muungano. Katiba ya Samwel Sitta imelazimisha muundo ya muungano wa serikali mbili kama alivyotumwa na CCM wakati wananchi wapo dirisha lingine la mtazamo. Athari za kupita katiba ya Samwel ni nyingi na mbaya sana. Tanzania itashuhudia haya muda mfupi tu baada ya katiba ya Samwel kulazimishwa kupita. Mara nyingi sikio la kufa halisikii dawa na chama kilichodumu madarakani miaka mingi huishia kuanguka kwa kuliingiza taifa katika umwagaji damu mkubwa. Hii ni historia wala si maneno yangu. Naangalia mbele na naona M23 kulindima ndani ya TZ. Safari hii itakuwa M23 ya Watanganyika walochoshwa na kero za muungano na si Wazanzibari kama tulivyozoea kusikia kwa miaka 50 iliyopita.
 
Mhashamu Askofu NiweMugizi umesema vema sana. Ni mlemavu wa akili tu atakayekupinga. Lakini hata huyo mwenye mtindio wa ubongo ataelimishwa na muda utakapofika. Time will tell. Muda huo hauko mbali iwapo katiba hii ya Samwel Sitta italazimishwa kupita kwa mabomu ya polisi na maji yao ya washawasha au hata kuiba kura kwenye sanduku la maoni ya wananchi. Katiba haiwezi kutengenezwa bila ya maridhiano juu ya muundo wa muungano. Katiba ya Samwel Sitta imelazimisha muundo ya muungano wa serikali mbili kama alivyotumwa na CCM wakati wananchi wapo dirisha lingine la mtazamo. Athari za kupita katiba ya Samwel ni nyingi na mbaya sana. Tanzania itashuhudia haya muda mfupi tu baada ya katiba ya Samwel kulazimishwa kupita. Mara nyingi sikio la kufa halisikii dawa na chama kilichodumu madarakani miaka mingi huishia kuanguka kwa kuliingiza taifa katika umwagaji damu mkubwa. Hii ni historia wala si maneno yangu. Naangalia mbele na naona M23 kulindima ndani ya TZ. Safari hii itakuwa M23 ya Watanganyika walochoshwa na kero za muungano na si Wazanzibari kama tulivyozoea kusikia kwa miaka 50 iliyopita.
 
ww na mwenzako @juve2012 naona akili zenu kisiasa bado zipo katika vurugu km Askofu wenu NIWE MUGIZI wa Rulenge
Ni Mada ngapi humu JF tumezijadili kuhusu ubabe wa huyu Askofu
km mnashindwa kutumia search engine basi
Raia Mwema - Nini kimebadilisha mwelekeo wa Kardinali Pengo?
Soma habari hiyo uone Askofu Pengo alivyokemea tabia ya Mhubiri huyu aliyeweza kuibomoa kazi ya Askofu aliyemtangulia Askofu Mwoleka

Cc tunazungumzia uPUUZI wa SAMWELI na GENGE lake na wapambe wao kuifanya KATIBA km mali yao Watu wanapotoa Sauti yakutolidhishwa na.upunguani huo Wanakimbilia kuwaogopesha kuwa watavuruga Amani acheni WOGA yaani mi.najua ww unanidhulumu nikikudai haki yangu unasema navunja AMANI nani atakubali uPUMBAVU km huo,,,,!!
 
Umesema vema Emmamkolomi.
Tanzania ni ya wote ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini. Kila raia ana haki ya kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria, hata viongozi wa dini ni raia hivyo wana haki kutoa mawazo yao kwa umoja wao hata kwa kila mmoja. Katiba inaposema sasa ni asilimia 50 kwa 50 isiishie hapo itueleze na utaratibu wa kupata hiyo 50 kwa 50. Rasimu ya Warioba iliweka wazi jinsi ya kufikia 50 kwa 50. Kwa utaratibu wetu kila jimbo lina mbunge mmoja, je unataka kutuambia kwamba kama jimbo 'Y' mbunge wake ni mwanamume jimbo 'X' lazima awe mwanamke hata kama hakubaliki. Utaratibu huu unaishia kwa wabunge na madiwani tu au ni kwa maeneo yote hata ya kitaalamu. Tunataka katiba itoe muongozo wa jinsi ya kufikia 50 kwa 50, isikae kimya. Nafasi ya mwananchi mpiga kura iko wapi. Tukumbuke tuna vyama vingi hapa utaratibu unakuwaje kuwapata wabunge wanawake kutoka vyama mbalimbali ambavyo ni pinzani. wanawake wasifuhie kupata wabunge wengi kwanza waulize utaratibu unakuwaje. Mimi naamini kwa utaratibu tulionao 50 kwa 50 haiwezekani.
 
Ingia Google utamkuta huyu Askofu Niwe ni hatari
Mambo yake yote ni kuipinga Serikali na Chama Tawala
Kwanini asihamie kabisa CHADEMA km Slaa
kwanini asijiunge na Papa mstaafu Benedict aliyekataa kuchanganya DINI na mambo ya Dunia (watoto kulawitiwa na mapadri? Mapadri waseja kuwadungua waumini na masista?)
Yeye anataka Siasa wakatu ana asili ya Nchi jirani, anataka kutuletea yaliyotokea Rwanda?
asitumie madhabahu kuzungumzia Siasa (KATIBA)
yeye akemee uchafu kanisani kwake kwani imekatazwa

YA KAISARI MPE KAISARI NA YA MUNGU MPE MUNGU

Suala la maadili kwa viongozi wa nchi sio jambo la Siasa... askofu go go go
 
Safi sana askofu Rulenge. watanzania wengi hahako tayari na udikteta huu wa ssm ila wanaogopa kwenda front. wachache kama wewe ni muhimu sana katika taifa hili na tunakumbea kwa Mungu uwe na afya tele tu wakikung'oe macho na kucha bila ganzi.
 
Cc tunazungumzia uPUUZI wa SAMWELI na GENGE lake na wapambe wao kuifanya KATIBA km mali yao Watu wanapotoa Sauti yakutolidhishwa na.upunguani huo Wanakimbilia kuwaogopesha kuwa watavuruga Amani acheni WOGA yaani mi.najua ww unanidhulumu nikikudai haki yangu unasema navunja AMANI nani atakubali uPUMBAVU km huo,,,,!!
Na wewe ni mbaguzi km Askofu Niwe Mugizi
ni kitu gani unachotaka kiongezwe kwenye Katiba?
Mahakama ya Kadhi?
50% (50-50) wanaume ka wanawake
Wagombea Binafsi?
Tanganyika?
wenzako hapo juu nimewaelekeza Binadamu yeyote ana mapungufu kama Samweli 6, Chenge, Kikwete, Dr Slaa na wengineo
lakini sio huyu Askofu wa Rilenge ana matatizo sana ana Ubaguzi ana ukabila na bado anaitaka Tanganyika
ndio maana nikawaambia wenzako Mada za huyu Askofu tulishazijadili

https://www.jamiiforums.com/katiba-...-na-kakobe-kutaka-serikali-ya-tanganyika.html
Ngara. Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara,
Severin NiweMugizi ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kupigia debe Serikali ya Tanganyika.
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/37013-kifo-cha-askofu-mayalla.html
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za kumzuia Askofu huyu kuwa Askofu Mkuu. Sababu nyingi na za msingi tulizieleza wakati wa kumsaka Askofu mkuu wa jimbo la Tabora. Mengi halijitokeza hadi mtoto wake Mkunde wa kule Maji ya chai Arusha.

Sababu mpya ni ile ya ukabila. Wakati wa uchaguzi mdogo wa Biharamulo, Askofu Severine, alihubiri makanisani na kuwashawishi watu wasimchangue Mkukasa, kwa vile si mzaliwa wa Biharamulo. Ukabila kama huo, hauwezi kumruhusu kwenda Mwanza, ambako hakuna wasubi. Kule ni Wasukuma, wakelewe, wajita na mchanganyiko wa makabila mengine mengi.
 
Na wewe ni mbaguzi km Askofu Niwe Mugizi
ni kitu gani unachotaka kiongezwe kwenye Katiba?
Mahakama ya Kadhi?
50% (50-50) wanaume ka wanawake
Wagombea Binafsi?
Tanganyika?
wenzako hapo juu nimewaelekeza Binadamu yeyote ana mapungufu kama Samweli 6, Chenge, Kikwete, Dr Slaa na wengineo
lakini sio huyu Askofu wa Rilenge ana matatizo sana ana Ubaguzi ana ukabila na bado anaitaka Tanganyika
ndio maana nikawaambia wenzako Mada za huyu Askofu tulishazijadili

https://www.jamiiforums.com/katiba-...-na-kakobe-kutaka-serikali-ya-tanganyika.html

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/37013-kifo-cha-askofu-mayalla.html
Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za kumzuia Askofu huyu kuwa Askofu Mkuu. Sababu nyingi na za msingi tulizieleza wakati wa kumsaka Askofu mkuu wa jimbo la Tabora. Mengi halijitokeza hadi mtoto wake Mkunde wa kule Maji ya chai Arusha.

Sababu mpya ni ile ya ukabila. Wakati wa uchaguzi mdogo wa Biharamulo, Askofu Severine, alihubiri makanisani na kuwashawishi watu wasimchangue Mkukasa, kwa vile si mzaliwa wa Biharamulo. Ukabila kama huo, hauwezi kumruhusu kwenda Mwanza, ambako hakuna wasubi. Kule ni Wasukuma, wakelewe, wajita na mchanganyiko wa makabila mengine mengi.

Mkuu hoja iko pale pale!hatuitaki rasimu isiyotokana na wananchi.
Mtu akiwanyoshea kidole mnamuona mhalifu na stori kibao hapo juu,ndio zile zile za CHADEMA wachaga,ni kawaida yenu nyie tumewazoea,mtu akiwa mwiba kwenu lazima mumfanyie character assassination ili apuuzwe,ila wale wapuuzi wenu bungeni wanaokatika mauno kwa kushabikia rasimu ambayo bado haijawa katiba hamuwaoni!hamtaki mawazo mbadala,nyie nani?nchi yetu sote hii kitaeleweka tu,fujo ni sehemu ya njia za kudai haki isiyotaka kutolewa kwa amani,unayeleta fujo ni wewe unayetaka watu wadai haki kwa lazima.ila this time kitaeleweka tu gradually,go go go,Askofu,tupo pamoja.
 
The Bishop is more than wrong. Religious issues should not be mixed with politics and that has been the stance of the Church unless otherwise.
 
lakin lowasa alipig kura ndiyo na ya wazi , askofu hapa anakataaa wazi wazi ,uhusiano wake na yeye upo wapi hapa mbona unajifunga mwenyew mwanaume mpashkuna ww ,pili acha kudhalilisha viongozi dini kwa uwongo wako wew ndo unagawa taifa kwa udini,na kam ina ukweli wa habar zako thibita kwa picha kwani malezo ya hadithi zako za kutunga , mwisho acha kuwa mwanume mmbeaaa kijana bado unahitaji malez ya wazazi wako/...TUNAWESHIMU SANA VIONGOZI WETU WA DINI BWANA CHABRUMA JIHESHIMU SANA, WE IBA SIMU TU UPATE MTAJI,SIASA ZA MAJITAKA ACHANA NAZO
 
Una akili sana wewe tofauti ya dini zetu isiwe sababu ya kujenga chuki miongoni mwetu au kukataa hata mawazo mazuri katika kulinda maslahi ya nchi yetu toka Watanzania wa dini tofauti. Chukua LIKES milioni 100 Mkuu. Ahsante sana.

mimi mwislamu lkn kwenye hili nipo na wakatoliki bega kwa bega...hatutaki huu wizi tz
 
Mkuu hoja iko pale pale!hatuitaki rasimu isiyotokana na wananchi.
Mtu akiwanyoshea kidole mnamuona mhalifu na stori kibao hapo juu,ndio zile zile za CHADEMA wachaga,ni kawaida yenu nyie tumewazoea,mtu akiwa mwiba kwenu lazima mumfanyie character assassination ili apuuzwe,ila wale wapuuzi wenu bungeni wanaokatika mauno kwa kushabikia rasimu ambayo bado haijawa katiba hamuwaoni!hamtaki mawazo mbadala,nyie nani?nchi yetu sote hii kitaeleweka tu,fujo ni sehemu ya njia za kudai haki isiyotaka kutolewa kwa amani,unayeleta fujo ni wewe unayetaka watu wadai haki kwa lazima.ila this time kitaeleweka tu gradually,go go go,Askofu,tupo pamoja.

Hilo ndilo Jibu tusubiri Ballot Box sio kuhubiri katika membari ya uchochezi km Asofu Niwe Mugizi wa Rulenge ndio ilikuwa Mada kuu
 
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

Amani inakuja automatically haihamasishwi,yaani kazi yenu kuvuruga amani then viongozi wa dini wahamasishe amani,haikubaliki.Amani ni zao la usawa katika jamii kama hakuna usawa ni kazi bure kuhamasisha Amani ndio maana anaipinga katiba pendekezwa kwani ni ya matabaka
 
Back
Top Bottom