Sijaharibu uzi but nilichoeleza ndio uhalisia na alichoongea Askofu Severin ndicho kilitegemewaKwani wewe ukikereka kuna hasara gani kwa taifa?
BTW Fungua uzi wako uendelee kumsakama Lowasa acha kuharibu huu uzi.
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Wewe ndio una mawazo ya kipumbavu.
Sioni kitufe cha Like Mkuu, Pokea Like x1,000... Na Wakatoliki tukisimama bega kwa bega na Waislamu ndipo serikali itakapojua waamuzi ni wananchi wala sio kina Makonda.
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.
Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.
Nchi hailii bali kuna walioshindwa kihalali kwenye mchakato ndo wanapiga kelele. Hapa ni kelele za UKAWA na boss wao Lowasaangalieni linyani hili la kike nalo likitoa maoni. ivi wewe chabruma aka makonda wa uvccm huoni nchi nzima ikilia mchakato huu kufanywa na ccm kwa manufaa ya ccm haifai na wewe unakejeli. kweli makonda hufai hata kujumuika katika jamii ya wtatanzania
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Nchi hailii bali kuna walioshindwa kihalali kwenye mchakato ndo wanapiga kelele. Hapa ni kelele za UKAWA na boss wao Lowasa
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
On top, Kanisa linamjenga binadamu kimwili na kiroho huwezi kuhudumia roho ya mtu anayekandamizwa effectively. Ndio maana wanajenga shule hospital n.k...Mbona wakifanya hayo hamsemi wameingilia siasa? Shame upon you nendeni vijijini mkaendelee kuwadanganya wabibi wauza tumbaku na ugoro.AS LONG AS YEYE ASKOFU WA WATU BASI LZM AWAPE MWONGOZO WA KIROHO NA MAISHA YAO KWA UJUMLA. YOU BETTER KEEP QUIET. KOKOTE ATAKAPOYAONGEA WATANZANIA TUTAMFUATA. ACHAKACHUI KITU UYU TUNAMUAMINI.
MI CCM MSIJILINGANISHE NA UYU BABA. NYIE NI WEZI MNAONUKA KT JAMII. IMAGINE MMEKUWA WEZI ATA KTK KURA MAREHEMU SHIDA SALUM MAMAKE ZITTO KAABWE NAE ATI KAPIGA KURA KT BMK MNANUKA SANA SHOMBO LA UKE NYIe CCM
Hujui ulisemalo halafu kauli yakusema unawakilisha vijana wa kitanzania ukome kuitumia kuhalalisha upuuzi wenu.Hao wanaopiga mayowe ni watu walioshindwa. Nchi hii ni zaidi ya huyo askofu wa Rulenge
Nchi hailii bali kuna walioshindwa kihalali kwenye mchakato ndo wanapiga kelele. Hapa ni kelele za UKAWA na boss wao Lowasa
Hata kule Rwanda ni maaskofu ndio waliochochea mauaji ya kimbari
Nani kampa huo uaskofu wa watu. Hajapigiwa kura na yeyote kuwa askofu wa Rulenge.Hajui hata maana ya kura huyo.Kawekwa tu kwa mfumo dikiteta wa kanisa katoliki ambao hauwapi waumini nafasi za kupigia kura maaskofu wao.AS LONG AS YEYE ASKOFU WA WATU
Duh hawa jamaaa wakatoliki huwa ni noma, wakiamua jambo huwa hawarudi nyuma.
If you sideline the church hakika ypu are heading towards failure, thats for sure.
go go askofu Niwemugizi, tuko sote sawa. Tupo na wewe hatua zote!
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Hata kule Rwanda ni maaskofu ndio waliochochea mauaji ya kimbari
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba