MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Sijamtishia hapa mtanzania yeyote nimemwambia NIWEMUGIZI mwenye jina la kitusi toka rwanda
LOWASSA noma, ziara moja Maaskofu wamebadilika, na iwe hivyo ili watanzania wajionee wazi athari za siasa za LOWASSA katika nchi hii.
Wamechoka kila siku makanisani wanahubiria watu waache dhambi ya kusema uongo wizi n.k, ila nyie viongozi mnadanga waziwazi, na kufanya wizi mchana kweupe! wewe unategemea Askofu atasemaje? kura za siri zote mmezichakachua mchana kweupe, what kind of ballot box u r talking about?Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Sijaharibu uzi but nilichoeleza ndio uhalisia na alichoongea Askofu Severin ndicho kilitegemewa
Utajua ni mwamiaji haramu au mzaliwa wa tanzania we subiri kidogo na huo ndio msimamo wa wakristo mtajuta mwaka huu.
Kaa ufahamu Lowassa ni Mlutheri na si MkatolikiAliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
Ni Upumbavu Kutumia Dini Kuitisha SERIKALI au Kubeba Ajenda za KISIASA NIWEMUGIZI Anaweza Kuwa na Upande wake KISIASA ni HAKI YAKE na Hajakosea, Kosa no Yeye na Wengine Kutumia Dini Kudrive Agenda za KISIASA.
Hivi na Waislamu Mfano Wakasema Bila 2 Hatukubali???
Walutheri, WAHINDU, nk nk Wakawa na MISIMAMO Yao Tofauti na Wakitoa Vitisho?????
SIASA ni Utawala wa DOLA , Utawala wa DOLA Hauwezi Endeshwa kwa UTASHI WA DINI MOJA ktk TAIFA AMBALO ni SECULAR HALINA DINI.
Ni Mpotofu Kanisa Katoliki Haliwezi Kuibulldozz SERIKALI Hata away mini wake sio Wote Wanaokubali UPUUZI HUU!
Tunawaheshimu Viongozi wa Dini KAMWE HATUWAABUDU.
Tutafuata Maelekezo Yao ya KIDINI SIO YA KISIASA.
"YA MUNGU MPE MUNGU YA KAISARI MPE KAISARI " YESU KRISTO
mkuu,mimi mkatoliki safi, nimebatizwa katika Parokia ya Mtakatifu Augustino UKonga naishi Ukonga na ni muumini safi wa jumuya ya mt. CECILIA hapo hapo Ukonga. Nawaheshimu sana viongozi wangu,lakini siwezi kamwe kuungana na viongozi wangu wa dini wenye mwelekeo wa kuhatarisha aman ya nchi. Kama muumni napaswa kuyaishi mapenzi mema(yakiwemo amani na upendo) yanayofundiswa na vitabu vitakatifu vya mungu na siyo vinginevyo.
Aisee kwa kweli Chabruma, FaizaFox, Msalani na akina Simiyu yetu bla kuwasahau akina HotLady wana michango yenye kujenga sana humu. Wengine humu wamekaa tu wanasuburi mada zenye nia mbaya na amani ya nchi yetu ndiyo utawona wanavyotoa mapovu. Hi kuna sababu yoyote ya kushabikia hii mada inayohusiana na askofu KIBWETERE?
Katika maneno haya hapa chini ni nini ambacho haujakielewa?
''Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya''
Huyu askofu ndo aliyeipa ushindi chadema jimbo la biharamulo -mbuge ni kijana wake toka rulenge ; kwa fitina ni mzuri.
... Huo ni mtazamo wako, lakin sis tunamkubali sana
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Kaa ufahamu Lowassa ni Mlutheri na si Mkatoliki
ungeniambia Dr Slaa hapo ningekuelewa ndiye anayepinga mpaka sasa
Muhimu
Kila DINI ikishinikisha mambo yake yaongezwe hatutafuka maana hapo Waislamu hawajatamka wala Pentekoste kwa ina Kakobe bado
Huyu Askofu ana matatizo naona kwa sababu yeye sio MUNGU awalazimishe binadamu wote wavuke SHAMU wakati kuna watu wa Pharao kibao tupo nyuma huku
Kaa ufahamu Lowassa ni Mlutheri na si Mkatoliki
ungeniambia Dr Slaa hapo ningekuelewa ndiye anayepinga mpaka sasa
Muhimu
Kila DINI ikishinikisha mambo yake yaongezwe hatutafuka maana hapo Waislamu hawajatamka wala Pentekoste kwa ina Kakobe bado
Huyu Askofu ana matatizo naona kwa sababu yeye sio MUNGU awalazimishe binadamu wote wavuke SHAMU wakati kuna watu wa Pharao kibao tupo nyuma huku