Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Haya mafisadi yana lazimisha kuitwa mheshimiwa ili tuyaheshimu yanavyokula pesa ya umma bila kusumbuliwaWe bange kweli kweli, nyerere hakutaka hii kitu kabisa.
Enzi zake ilikuwa ni mwendo wa "ndugu", acha kukurupuka na kama hujui funga domo.
Mbona kumkumbusha!Askodu Niwemugizi ka fumble leo,angeachana na haya ya kuitwa Mungu angemkumbusha masuala ya ukosefu wa haki kwa watz.
Kesi ya Mbowe ni ya mchongo
Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais...
Kwa nini kila anayekosoa sasa mnasema kipindi Cha Magufuli alikua kimya?Huyu askofu ni mnafiki balaa yani,kipindi magufuli yupo hai alikua kimya
Macho yangu huenda yanaona tofauti, hata yeye anapenda kutukuzwa.Raisi SSH hawezi kukubali kutukuzwa kama yule mwingine, lakini tatizo ni 'chawa'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili lilisemwa sana wakati uliopita (previous regime)
Mtu akikufananisha na Mungu kimsingi anakuloga na ukikubali tu umeenda na maji na siku zako zinahesabika
Tahadhari pekee ni kutokubali kufananishwa na Mungu na kukataa kwa dhati sifa hizi za kijinga
Over!!!
Hawa kundi la wanafiki wakiongozwa na huyu Samia ndo maana umemuona ameenda huko kwa wanafiki wenzake huyu mama wa kuhurumia tu!Nani aliwahi kujifananisha na Mungu Tz?
Acha uwongo, Nyerere hata kuitwa muheshimiwa hakupenda... Kipindi chake tulizoea neno ndugu... hata bungeni hakukuwa na hii mambo ya uheshimiwa...Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata.
Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu.
Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu.
Na baadae akawaambia watu kama hampendi kumuita ndugu basi wamuite mwalimu...... kizazi cha lini wewe? Official salutation ya Nyerere ilikuwa Mwalimu or Ndugu or (rarely) Mheshimiwa na sio vingenevyo!
Hii hoja huwa nasema siku zote ni hoja ya kipimbi.Huyu askofu ni mnafiki balaa yani,kipindi magufuli yupo hai alikua kimya
Nyerere hakuitwa mtukufu.Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata.
Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu.
Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu.
Angekua hayati faster angeagiza achunguzwe uraia wakeAmeyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais
===
JPM alikuwa anahudhuria matukio kama haya ya leo kila mara, sidhani kama uliwahi kumuita mnafiki.Hawa kundi la wanafiki wakiongozwa na huyu Samia ndo maana umemuona ameenda huko kwa wanafiki wenzake huyu mama wa kuhurumia tu!
Nakemea kwa ukale kabisa, uache uwongo, uache unafiki. Wewe ni mwongo mkubwa. Mwaliku Nyerere hakukubali kabisa kuitwa mtukufu wala hakukubali kuitwa mheshimiwa. Alikiwa akiitwa "Ndugu Rais".Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata.
Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu.
Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu.
Kwanini usiendelee kufuatilia singeli mkuu. Yani hujui Jiwe alivyokuwa anamchukia Askofu Niwemugizi mpaka akaitwa sio raia uhamiaji wakamchunguza. Tanzania hii kuna maaskofu wawili walikuwa strong ni Askofu Niwemugizi na Askofu Bagonza, wote majirani ila makanisa tofautiHuyu askofu ni mnafiki balaa yani,kipindi magufuli yupo hai alikua kimya
Hakika ✔️ na ukikubal tu huo ukuu mazee huchukui round refer.. kifo cha mfalme Herode!!!Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais
===
skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
Amesema hayo leo Jumanne Februari 22, 2022 katika sherehe za Jubilee ya miaka yake 25 inayofanyika wilayani Ngara mkoani Kagera.
“Nikikuombea uwe na afya njema na uwe mnyenyekevu lakini pamoja na madaraka hayo makubwa uliyonayo usikubali kamwe kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile usikubali."
"Ninakumbuka sana Hayati Benjamini Mkapa najua huko mlikuwa mmezoea mtukufu rais, mtukufu rais alifika mahali akawa mkali kabisa mtukufu ni Mungu tu naomba hilo liwe neno kwako, " amesema Askofu Niwemuguzi.
Huku akiwa makini amesisitiza,"basi nakuombea Mungu akusaidie kukuza upendo kati ya Watanzania unaotuongoza, ukuze haki nayo haki izae amani na utulivu na kukuza demokrasia katika nchi yetu."
“Ukuze upendo na mshikamo wa Watanzania ili hatimaye utumishi wako utukuke na kuacha alama itakayoonwa kwa vizazi vingi.
Mungu akujalie hekima na uvumilivu wa kusikiliza hata yale yanayokela masikio yako, unajua sisi watoto wako tuko wakorofi, Mungu akujalie tu hekima na uvumulivu hasa pale unapokuwa ni ushauri wenye nia njema ya kulijenga Taifa letu liendelee kuheshimika ndani na nje.”
View attachment 2127421
Ilo neno lao tukufu sijui wanatumia kwajili gani, Tukufu wakati changamoto ni nyingi nchini kuliko mafanikio, bora hata nchi zilizokwisha endelea walitumie kidogo italeta maana #Not personal 😅 #one love TzAmeyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais