Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Umezaliwa lini wewe? Enzi za Mwalimu hata neno mheshimiwa lilikuwa halitumiki. Wote tulikuwa tunaitana "Ndugu" au Comredi tukiwaiga China na Mozambique enzi za Samora Machel.Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata.
Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu.
Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu.