Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Feb 22, 2022 #81 damper said: Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata. Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu. Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu. Click to expand... Umezaliwa lini wewe? Enzi za Mwalimu hata neno mheshimiwa lilikuwa halitumiki. Wote tulikuwa tunaitana "Ndugu" au Comredi tukiwaiga China na Mozambique enzi za Samora Machel.
damper said: Nyerere alitwa mtukufu rais mpk anang'atuka na hakuna lolote lililompata. Ni unafiki wetu tu wanadamu tunaweza kutukuza kitu kwa mdomo lakini moyoni hakuna kitu. Uzuri hilo neno liliisha ondolewa tangu awamu ya tatu. Click to expand... Umezaliwa lini wewe? Enzi za Mwalimu hata neno mheshimiwa lilikuwa halitumiki. Wote tulikuwa tunaitana "Ndugu" au Comredi tukiwaiga China na Mozambique enzi za Samora Machel.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Feb 22, 2022 #82 fimboyaasali said: Kajibiwa vizuri sana Click to expand... Mods wameona umeandika utumbo wakaiondoa post yako
fimboyaasali said: Kajibiwa vizuri sana Click to expand... Mods wameona umeandika utumbo wakaiondoa post yako