#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Washauri wa papa na warithi kiti cha petro.

Kwa sasa wanateua wenye daraja tu.

2017 papa aliteua padri kuwa kadinali toka Asia
Asante.

Kwa maana hiyo ina maana Kadinali ana cheo zaidi ya Askofu, hivyo sitashangaa huo uamuzi wa Askofu ukiondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuweke mjadala wa jinsi wewe na mimi tunavyomfahamu huyu Askofu halafu uone kama wewe hujazaliwa "MAGGOT"!!!


Case fatality rate typically is used as a measure of disease severity and is often used for prognosis (predicting disease course or outcome), where comparatively high rates are indicative of relatively poor outcomes. It also can be used to evaluate the effect of new treatments, with measures decreasing as treatments improve. Case fatality rates are not constant; they can vary between populations and over time, depending on the interplay between the causative agent of disease, the host, and the environment as well as available treatments and quality of patient care
 
Asante.

Kwa maana hiyo ina maana Kadinali ana cheo zaidi ya Askofu, hivyo sitashangaa huo uamuzi wa Askofu ukiondolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnauliza taratibu jinsi zilivyo ndani ya kanisa katoliki sio mtu unajiandikia tu kitu usichokielewa.
Askofu wa kikatoliki huwa anapewa nguvu ya kufanya maamuzi katika eneo analoliongoza bila kuingiliwa kimaamuzi na askofu mwingine.
Kardinali ni cheo cha heshima au kwa lugha nyepesi ni mshauri wa papa hivyo hana uwezo wa kutengua maamuzi ya askofu yeyote nchini Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Baba Askofu ni mfano wa kuigwa.

Ndiyo maana imeandikwa katika (zaburi 94:14):

"For the Lord will not forsake his people ..". Mwisho wa kumnukuu.

Askofu Niwemugizi wewe ni zawadi kwetu kutoka kwa Mungu katika kipindi hiki kigumu tunachokipitia.
 
Kuna mida ni sahihi kusoma teolojia na miongozo ya mambo yahusuyo dini unayoichangia hapa.,Hebu huyu Mungu tusimchukulie vibaya,katupatia akili na utashi pia maarifa tuyatumie kwa ajili yetu na matakatifuza yake.

Katika Imani ya katoliki Askofu ni Rais wa jimbo na as long as hajatoka nje ya ukatoliki basi anakuwa hajatenda kosa.TEC ni chombo cha kuliunganisha kanisa Tanzania na inabidi wakubaliane walau 3/4 ndipo linatolewa tamko but haizuiwi kulipinga(Refer issue ya Kadinali Pengo alipoupinga waraka wa Pasaka miaka kadhaa iliyopita).

By the way Kanisa kote duniani wanahimiza kuchukua tahadhali kubwa haswa kipindi hiki,mifano ipo dhahiri huko dini zilikoanzia ambako no church congregations at all kipindi hiki na si kwamba hawamuabudu Mungu ama wao hawaijui dini kuliko sisi wavamiaji na wapewaji wa dini hizi.

Kumbuka utakapo kusali basi nenda mahali pa siri,sali sala zako na Baba yenu wa sirini ataisikiliza sala yako,lakini pia nakukumbusha hata Yesu mara zote alipotaka kusali kwa imani kubwa Mpaka miujiza ikajitokeza(kubadirika sura,manabii watatu kujitokeza)alikuwa anajitenga na watu anasali pekee so wewe sali na familia yako bado sala zenu zitasikilizwa.

So Mkuu with all due respect usimshambulie Bishop Niwemugizi and infact anastahili pongezi.

I stand to be corrected with constructive criticisms
 
Hili kanisa (katoliki)halina uongoz imara??naona kila kiongozi anatoa tamko kwa anavojisikia yeye.Wameshindwa kutoa tamko kwa makanisa yote tz?yule sijui kadinar mbna yupo kmya?
Kila askofu ana mahamuzi yake ila wote ufuata mwongozo wa papa.
 
Askofu huyo akili hana alipo Mungu shetani hakajagi awe corona au Nani.Hana Mungu huyu Askofu na hajui uwezo Wa Mungu

Na hajui kanisani kuwa Mungu akiwepo hakuna corona

Askofu mpagani huyo
Shetani mkubwa wewe!
 
Hivi kusitisha parokia ,moja au dhehebu moja au dini moja kunasaidia nini?
 
Mimi sisemi lolote langu ila niliyo yasikia tu.
Ibada ya Umla na Hija kule katika msikiti mkubwa duniani kuliko yote umefungwa hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia au kutoka Saudia na misikiti yote uarabuni imefungwa ikiwemo ulaya na Asia na America.

Kanisa kubwa na la zamani sana duniani Kanisa la Papa mwenyewe njini Vatikani limefungwa na ibada ya pasaka kilamtu alifanyia kwao na papa mwenyewe alijifungia chumbani na kusali na watu watatu wakiwa zaidi ya mita6. Hilo limepelekea makanisa yote ulaya, Amerika, Asia na Afrika kufunga makanisa yote hadi hivi sasa.

hayo ndiyo yapa duniani sasa changieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…