Kinachosikitisha ni huu uamuzi muhimu kabisa kuachiwa viongozi wa dini wenyewe watumie utashi wao!
Je makanisa ya watu binafsi yatafungwa kwa hiari ilhali wanahubiri Yesu hashindwi?
Unajua askofu ni nani katika kanisa katoliki? Muulize FaizaFoxy na niwemugizi ni nani?
Basi habari ndio hiyo
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Usibishane na mjinga na wewe utaonekana mjinga,dishi limeyumba huyo Bia Yetu.Nishakwambia huna akili na nimekuthibitishia kutokana na ujinga ulioshauri. Bad enough kubishana na mwehu kama wewe naona unanipotezea tu muda wangu.
Asikofu amedhihilisha kuwa hana Njaa ya sadaka.Safi sana hawa ndiyo watu wanajua kufikirj wenyewe sio kusubiri MTU mmoja afikiri kwaniaba yenu!! Wengi wanaojikausha kisa ni sadaka siokwamba wanatamani sana kuhubiria watu
Wewe unajua mamlaka ya Askofu?Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote mweye akili timamu na Upako wa Mungu atafanya hivyo! Huyu ndiye kiongozi wa Kiroho, siyo wa dini. Wa dini ni akina Mwamposa, Gwajima &Co.LtdKanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na sala za Jumuiya kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Aprili 19, 2020
Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo hilo amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari alama za nyakati na kujifunza kutoka kwa watu wa Ulaya, Marekani na nchi za jirani na hatua ambazo Baba Mtakatifu alizichukua kwa kutoa maelekezo kwa Maaskofu Wakatoliki Duniani na namna ya kuadhimisha Ibada
Amesema pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kutotoa amri ya kufunga Makanisa na Misikiti, akihimiza kufanya ibada kumuomba Mungu atunusuru na janga hili, kama Mchungaji wa Jimbo la Rulenge-Ngara ameamua kuchukua uamuzi huo
Aidha, Askofu Niwemugizi amesema pale itakapowezekana wataomba redio Kwizera irushe adhimisho la Misa fupi na Waamini wafuatilie redioni. Baada ya mwezi kuisha Kanisa litaangalia hali ilivyo ili kama iliongeze muda
Pia, amewataka mapadre kuadhimisha misa peke yao kwa niaba ya waumini kuwaombea na kuiombea dunia ili Mungu atunusuru na #COVID19 hili na kuagiza sala za Jumuiya kufanyika ndani ya familia kwa familia moja moja
View attachment 1422602
Umenikumbusha mbali. Wakati ule nilipokuwa nawakikisha vijana, wakati wa kikao cha Baraza la Kichungaji la jimbo ambalo Mwenyekiti alikuwa Baba Askofu, wajumbe ni ngazi ya jimbo na mapadre wakuu wa dekania, kulikuwa na ajenda ya kukea miito mitakatifu. Baada ya maoni ya sisi wajumbe wote kusikilizwa, mwishowe Baba Askofu, bila ya kujali wangapi mmeshauri nini, alisema, "Roma Lacuta" kisha akaeleza kitakachotakiwa kufanywa.Roma Locuta Est, Causa Finita Est = "Rome has spoken, the case is closed".
Ona huyu nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
hana imani huyu askofu