DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Jina lakitabu linasadifu yaliyomo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askofu angekaimisha ibada kwa shemasi haya ni maamuzi ya kidikteta
Waumini hawajashirikishwa
Papa aingilie kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wanakimbia kwenda kuhakiki walichoelezwa kina maria Magdalena, petro alichelewa kaburini tokana na uzee hivyo mbio hazikuwa sawa na yohane, lkn yohane hakuingia mpaka pale petro alipoakiki sanda ya yesu na ni petro alimuakikishia kuwa hakika amefufuka.Askofu pekee mwenye akili timamu Tanzania.
Wengine wote ni majanga tu bila kujali dhehebu.
Huyu akili zake sawa na imamu wa ule msikiti wa dar uliositisha matumizi hadi waandae utaratibu mzuri utakao punbuza hatari ya maambukizi ya hili gonjwa.
Kwa hiyo usha confirm kwamba pasaka ndo chanzo cha idadi ya wagonjwa kuongezeka ghafla....incubation ya COVID-19 ni siku ngapi kwani?mara baada sikukuu ya Pasaka wagonjwa wameongezeka maradufu
Nilijua tuu wataibuka mambumbumbu kama wewe na kutafsiri kimbumbumbu kwa kutumia litera legis. Hapa maana ya roma iliyotumika ni kiongozi wa juu wa kikatoliki sehemu husika akitamka basi waliochini yake hawatakiwi kukosoa ni kutekeleza ni sawa sawa na amri za kijeshiNgara sio Rome. Ni Askofu wa ngara ameamua hivyo.
I am interested to know this guy. He has been a source of many controversies. Who is he?
Aaaaaaaaaah some thing went wrong some where.Baba Askofu ameonyesha njia kwa serikali inatakiwa kufanya nini kuhusiana na ugonjwa huu .
Solution sio kusali tu kikubwa ni kukaa mbalimbali
Kusali kila mtu anaweza kusali nyumbani kwake tulishabishana muda hapa kuhusu kutokusali makanisani baadhi ya watu walipinga.
Kwa hiyo kesho bwana mkubwa no kusali huko chatogani
Kweli Jina lakitabu linasadifu yaliyomo.
hii kama sio kabandansi sijui.... [emoji23]!Roma Locuta Est, Causa Finita Est = "Rome has spoken, the case is closed".
😵😵hii kama sio kabandansi sijui.... [emoji23]!
All in all nmekuekewa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anaanza kwa kudharau huna sababu ya kuendelea naye. Ameshajieleza yeye ni mtu wa aina gani. Covid kills and anybody can die.Nilijua tuu wataibuka mambumbumbu kama wewe na kutafsiri kimbumbumbu kwa kutumia litera legis. Hapa maana ya roma iliyotumika ni kiongozi wa juu wa kikatoliki sehemu husika akitamka basi waliochini yake hawatakiwi kukosoa ni kutekeleza ni sawa sawa na amri za kijeshi
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na sala za Jumuiya kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Aprili 19, 2020
Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo hilo amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari alama za nyakati na kujifunza kutoka kwa watu wa Ulaya, Marekani na nchi za jirani na hatua ambazo Baba Mtakatifu alizichukua kwa kutoa maelekezo kwa Maaskofu Wakatoliki Duniani na namna ya kuadhimisha Ibada
Amesema pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kutotoa amri ya kufunga Makanisa na Misikiti, akihimiza kufanya ibada kumuomba Mungu atunusuru na janga hili, kama Mchungaji wa Jimbo la Rulenge-Ngara ameamua kuchukua uamuzi huo
Aidha, Askofu Niwemugizi amesema pale itakapowezekana wataomba redio Kwizera irushe adhimisho la Misa fupi na Waamini wafuatilie redioni. Baada ya mwezi kuisha Kanisa litaangalia hali ilivyo ili kama iliongeze muda
Pia, amewataka mapadre kuadhimisha misa peke yao kwa niaba ya waumini kuwaombea na kuiombea dunia ili Mungu atunusuru na #COVID19 hili na kuagiza sala za Jumuiya kufanyika ndani ya familia kwa familia moja moja
View attachment 1422602
Mkuu Roving Journalist, asante kwa taarifa hii.Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na sala za Jumuiya kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Aprili 19, 2020
Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo hilo amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari alama za nyakati na kujifunza kutoka kwa watu wa Ulaya, Marekani na nchi za jirani na hatua ambazo Baba Mtakatifu alizichukua kwa kutoa maelekezo kwa Maaskofu Wakatoliki Duniani na namna ya kuadhimisha Ibada
Amesema pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kutotoa amri ya kufunga Makanisa na Misikiti, akihimiza kufanya ibada kumuomba Mungu atunusuru na janga hili, kama Mchungaji wa Jimbo la Rulenge-Ngara ameamua kuchukua uamuzi huo
Aidha, Askofu Niwemugizi amesema pale itakapowezekana wataomba redio Kwizera irushe adhimisho la Misa fupi na Waamini wafuatilie redioni. Baada ya mwezi kuisha Kanisa litaangalia hali ilivyo ili kama iliongeze muda
Pia, amewataka mapadre kuadhimisha misa peke yao kwa niaba ya waumini kuwaombea na kuiombea dunia ili Mungu atunusuru na #COVID19 hili na kuagiza sala za Jumuiya kufanyika ndani ya familia kwa familia moja moja
View attachment 1422602
Askofu amerahisisha sana.
Sasa ni rahisi kutoa tamko.
Lazima tujiulize nani angethubutu kutoa tamko la kufunga kanisa hasa kanisa Katoliki au Msikiti kama sio wao wenyewe.
Siasa za Tanzania na historia yake inasimama kwa umakini sana linapokuja suala la Kanisa Katoliki.
Hivi tamko lingetoka nje ya kanisa hilo halafu kanisa hilo likapinga unafikiri ingekuaje wakati waliotoa tamko wanaomba msamaha wa dhambi kupitia viongozi wa kanisa ?
Ndio tusali kwa ajili ya kuliokoa Taifa lakini bado kiroho kuna watu hawaamini na hawana habari na Mungu kabisa.
Na hawa kama hili ni pigo la Mungu basi ni lazima wapigwe. Na pia kuna watu waovu wanajaa makanisani na misikititini huku wakiwa wamelewa damu za watu na dhulma. Hawa ni lazima wapigwe na ghadhabu ya Mungu. Hakuna haja ya kuchangamana nao kwani wamebeba Covid 19 kwenye mioyo yao na miili yao. Kuchangamana nao makanisani ni hatari sana kwani. Hata Gharika wakati wa Nuhu Mungu alimwambia ajitenge kwa kujifungia ndani ya Safina. Hakumuokoa akiwa amechangamana na waovu.
Mungu alimtoa Lutu kule Sodoma na Gomora ili asichangamane nao wakati wa mapigo ya kuiangamiza miji ile.
Kuna mapigo yanaendelea duniani Leo lakini ukipita mitaani watu wanaendelea na Uzinzi na uasherati ,wizi,ulevi,uchawi,dhuluma,uonevu, kujikweza,dharau,kiburi, majivuno,woga, matambiko ya mizimu,kutoa makafara ya damu za watu,biashara haramu za madawa ya kulevya, kubambika watu kesi, ugaidi, ujambazi, ukabaji, uporaji, ushoga, usagaji, utapeli, matusi, uongo,fitina,chuki, tamaa, husuda, Kula Riba kubwa , kuuza vitu feki, upendeleo makazini, ubakaji, unyanyasaji, mauaji ya albino, kuhamisha mipaka ya mashamba n .k. Watu watubu na kuacha haya maovu kwa dhati kabisa ndipo wanapoweza kuendelea na Ibada kwenye mikusanyiko makanisani au misikitini. Mungu ataona kusanyiko la Watu wema au watakatifu duniani au watu waliotakaswa mioyo yao na roho zao.
Kwa sasa nyumba za ibada ni mikusanyiko za waovu waliofanya uovu wiki mzima wanaenda kukutana kama desturi tu na mazoea.
Tutubu na kukiri kuwa tumewakosea binadamu wenzetu bila kujua na kuamini kuwa kuna nguvu kubwa kuliko zile tulizo Nazo na nguvu zetu tunazojivunia zinatoka kwa Mungu.
Tusalie majumbani lakini tukumbuke kutoa sadaka zetu kwa Mungu na zaka zetu ziwafikie watumishi wa Mungu na watu wenye uhitaji.
Hongera baba askofu kwa hekima na busara zako na kusimamia tamko la Papa toka Vaticani.
Naam wasipoimba hawa basi mawe haya yatapaza sauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachosikitisha ni huu uamuzi muhimu kabisa kuachiwa viongozi wa dini wenyewe watumie utashi wao!
Je makanisa ya watu binafsi yatafungwa kwa hiari ilhali wanahubiri Yesu hashindwi?
Anataka attention tu huyo. Usihangaike naye. Hata akikujibu achana naye.Nishakwambia huna akili na nimekuthibitishia kutokana na ujinga ulioshauri. Bad enough kubishana na mwehu kama wewe naona unanipotezea tu muda wangu.