Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Mkuu naona una kifaa cha kupima dhambi za watu (dhambiometer)Eti nini Askofu Niwemugizi anafanana na Askofu Desmund tutu yule mtetea mashoga na ndoa za hisia Moja na aliyezaa nje ya ndoa na kufukuzwa uaskofu baada ya kukiri?
Jfteam
Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu.
Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za jamii, hushauri kwa maslahi mapana ya jamii tofauti na wengine wanajiweka karibu ya viongozi ili wachonge mzinga.
Kutokana na hali hiyo nashauri mamlaka za nchi zisikie ushauri wake kwa heshima ya kufanyia kazi shauri zao zitakumbukwa na vizazi vijavyo. Mbele yetu kuna suala la katiba mpya, watu walioko mahabusu kwa hila, ufisadi kwa baadhi ya watendaji, tume huru ya uchaguzi, matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya watendaji, nk nk
Hivyo vyote vitampa heshima kubwa Rais SSH ikiwa atavitekeleza kwa watanzania. Watanzania tumezaliwa bila vyama vya siasa sasa Siasa haiwezekani ziligawe taifa. Mama wasikilize akina Niwemugizi utabarikiwa na nchi ulojaliwa kuitawala.
# SSH kazi iendelee
# Niwemugizi ushauri uendelee
# Watanzania tuwaombee viongozi wetu.
Msakila M Kabende
Kakonko / Bukoba
Huyo Niwemugizi wako Kabende Msakila.Jfteam

Mimi mtu wa dhambi ambaye nimeshaandaliwa tanuru kuchomwa huko kunakohusika nimehusikaje na Maaskofu wasiokuwa na dhambi?Huyo Niwemugizi wako Kabende Msakila.
Anatambuliwa na taasisi gani za kimataifa kama Desmond Tutu?
Zaidi ya kuwa Biased na chadema,ni maslahi gani au jambo gani amewahi kusimamia kidete kulitetea kitaifa?
Huyo askofu Niwemugizi ana tuzo gani ya heshima aliyowahi kutunukiwa kimataifa.
Maswali ni mengi sana ila itoshe kukwambia kwamba usilinganishe @lMima na Kichuguu.
Unapoamua kuwa Askofu kwa imani na uelewa wetu ni kuwa tunakutegemea uwe kwenye level tofauti za kiimani,kiutu na kiakili kushinda sie wengine tuliamua kuwa waumini wa kawaida..sasa ukianza kuleta hoja za kumtetea kwa minajir hiyo basi auvue uaskofu apishe wanao uweza.Mkuu naona una kifaa cha kupima dhambi za watu (dhambiometer)
Kiongozi mwanadamu sio Mungu udhaifu wetu ndio unadhihirisha kuwa tunamwitaji Mungu (Yesu)
Sio ajabu Mwanadamu akitenda hayo ila ni ajabu sana kama asipotubu (akikataa kuziungama)
Maana Mungu ndio anaewahesabia watu haki sio hiyo midhambiometer yenu
Personal life ya mtu haimwondolei kipawa alichonacho
Hizo tuhuma ni za niwemugizi au tutu maana umeanza kushuka kwa jazba sana.Eti nini Askofu Niwemugizi anafanana na Askofu Desmund tutu yule mtetea mashoga na ndoa za jnisia Moja na aliyezaa nje ya ndoa na kufukuzwa uaskofu baada ya kukiri?
Wewe acha ujinga,mshenzi huyu unajua alichomfanya mwanzilishi wa jimbo la rulenge,askofu mwoleka?Jfteam
Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu.
Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za jamii, hushauri kwa maslahi mapana ya jamii tofauti na wengine wanajiweka karibu ya viongozi ili wachonge mzinga.
Kutokana na hali hiyo nashauri mamlaka za nchi zisikie ushauri wake kwa heshima ya kufanyia kazi shauri zao zitakumbukwa na vizazi vijavyo. Mbele yetu kuna suala la katiba mpya, watu walioko mahabusu kwa hila, ufisadi kwa baadhi ya watendaji, tume huru ya uchaguzi, matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya watendaji, nk nk
Hivyo vyote vitampa heshima kubwa Rais SSH ikiwa atavitekeleza kwa watanzania. Watanzania tumezaliwa bila vyama vya siasa sasa Siasa haiwezekani ziligawe taifa. Mama wasikilize akina Niwemugizi utabarikiwa na nchi ulojaliwa kuitawala.
# SSH kazi iendelee
# Niwemugizi ushauri uendelee
# Watanzania tuwaombee viongozi wetu.
Msakila M Kabende
Kakonko / Bukoba
Alimuweka marehemu Askofu Mwoleka(R.I.P)Wewe acha ujinga,mshenzi huyu unajua alichomfanya mwanzilishi wa jimbo la rulenge,askofu mwoleka?
Unajua chuki aliyomfanyia marwhemu karugendo kwakuwa tu ni mjomba ya askofu mwoleka,acheni kusufia watu msiowajua
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Unaijua historia ya jimbo la Rulenge na roho mbaya ya huyu askofu Niwemugizi?!Leo Askofu amepigilia msumari wa moto serikalini ,kaongea vitu vya maana kwa taifa letu,CCM muusikilize huo ushauri mliopewa mliokoe taifa.
Tumwachie mungu Africa ni moja ila wahaya sio watz hata kidogoUnaijua historia ya jimbo la Rulenge na roho mbaya ya huyu askofu Niwemugizi?