Jamani mbona mnatoa maoni bila kuangalia pande mbili? Hivi unamjua mwoleka vizuri? Je na huyo Karugendo unamfahamu? Hivi unafahamu majukumu ya askofu kwenye jimbo? Jifunze utoe hoja zenye afya!
kumbe huna habari zozote zile za jiwe kumchukia askofu huyu, alianza chuki naye toka hata hajawa rais, kisa kiwanja alichojenga kanisa jiwe pale kwake, na askofu alisimamia msimamo wake!!!.
Kanisa Katoliki lina mfumo wa kuanzisha makanisa mapya, kuanzia Jumuiya Ndogo Ndogo, then Kigango, then Parish au Parokia. Hivyo Askofu wa kwanza wa Jimbo la Rulenge, Bishop Mwoleka, alianzisha Jumuiya Ndogo Ndogo Rulenge. JPM akiwa Waziri wa Ujenzi, akaamua kujitolea eneo kubwa pale kwake, akajenga kanisa zuri la kisasa kwenye eneo hilo hapo Chato ili liwe Kigango, baadae Parokia.
Askofu akataka eneo la kanisa hilo liwe mali ya Kanisa, JPM akamgomea na kujitolea kugharimia kila kitu, ikiwemo nyumba za Mapadri na Masista, jukumu la Askofu ni kumpangia tuu Padri. Baba Askofu Niwemugizi aligoma kumpangia Padri, hivyo kanisa hilo kugeuka a white elephant!.
JPM aliposema Katiba sio kipaumbele changu, Baba Askofu Niwemugizi alimpinga na kuchonga kwa makali live. Ikambidi JPM amshughulikie kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia alizo nazo kuhusu asili yake, hivyo Baba Askofu Niwemugizi akashughulikiwa ipasavyo na uhamiaji, alinyang'anywa passport yake!.
Wakati wa Corona, baada ya JPM kupiga kambi Chato na kusisitiza no lockdown, Baba Askofu Niwemugizi akapiga lock down!. JPM akaamua kusalia Lutheran na akampaka sana Baba Askofu Niwemugizi.
Kiukweli hawa Watanzania wenzetu wa mikoa ya mipakani, japo ni Watanzania wenzetu, ila kiukweli baadhi yao wana, mawazo, tabia, kauli na roho mbaya fulani za Kihutu!.
Hata hapa jijini DSM, tuna Wahutu wengi tuu, wanajuana, wanashirikiana sana, huku wame pose kama Watanzania!, utawajua kwa kauli na roho mbaya za ajabu!.
Wanabodi, Utangulizi Tuanze na background issue ni Askofu wa Kanisa la FGBF, Askofu Mkuu, Zakaria Kakobe, amezumza kwa ukali kabisa kumwambia rais Magufuli ni mdhambi na kumtaka atubu, na asipo tubu kuna kitu Mungu atafanya, ila hakusema ni nini Hii sio thread ya kuzungumzia dhambi za rais...
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni kutoka nchi majirani zetu, wa mikoa ya pembezoni wanaopose kama Watanzania jee kuna haja kwa viongozi wetu wakuu wa umma tutoa maelezo ya kina kuhusu asili zao halisi na asili halisi za wazazi wao na mahali...
Askofu hawezi kuwa hivyo usemavyo huyo ni kibaraka wa roma kama walivyo wengine. Kumfananisha na tutu ni ni kujaribu kuyaweka makande na biriani chungu kimoja.

Pasco,
Hii inadhihirisha chimbuko la kuzorota kwa mahusiano yao ni ujenzi wa hilo kanisa jambo ambalo kwa maoni yangu Baba Askofu alikuwa sahihi kukataa alichotakiwa kufanya JPM kama alifanya kwa nia ya majitoleo yake kiimani basi baada ya kutoa kiwanja na kujenga alipaswa kutoa kama sadaka kwa Kanisa ili Kanisa lenyewe sasa liendeshe Kanisa pamoja na nyumba ya watawa lakini kitendo cha JPM kutaka apewe mapadre tu hapo hakuwa sahihi kabisa.
Mkuu watu leo wanaongea +ve side ya Askofu,, kwanini wewe ulazimishe tusikilize -ve zake??? kila binadamu ana Negative side yake.,,ila kwa Leo mleta uzi kaona alete positive na wewe unalazimisha mabaya yake....
Una ushahidi..??? ulishachukua hatua zipi baada ya kujua hayo? nani alikusimulia? una source ya kuaminika ya taarifa zako? au ni umbea tu.
Jfteam
Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu.
Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa ya Kusini. Ni watu wasiojua kula maneno, kujikomba wala kujipendekeza. Mara zote huongea hisia za jamii, hushauri kwa maslahi mapana ya jamii tofauti na wengine wanajiweka karibu ya viongozi ili wachonge mzinga.
Kutokana na hali hiyo nashauri mamlaka za nchi zisikie ushauri wake kwa heshima ya kufanyia kazi shauri zao zitakumbukwa na vizazi vijavyo. Mbele yetu kuna suala la katiba mpya, watu walioko mahabusu kwa hila, ufisadi kwa baadhi ya watendaji, tume huru ya uchaguzi, matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya watendaji, nk nk
Hivyo vyote vitampa heshima kubwa Rais SSH ikiwa atavitekeleza kwa watanzania. Watanzania tumezaliwa bila vyama vya siasa sasa Siasa haiwezekani ziligawe taifa. Mama wasikilize akina Niwemugizi utabarikiwa na nchi ulojaliwa kuitawala.
Yes, ni msubi wa biharamulo - jirani kbs na seminar ya katoke. Wasubi ni kabila dogo linalopatikana ktk sehemu ndogo ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.