Askofu Niwemugizi ni kama Desmond Tutu wa Afrika ya Kusini

Niwemugizi Yuko biased na haki. Chawa Kama wewe unachojua ni kutetea chama chako tu kilichojaa dhulma.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati Yesu aliamuru majini yaingie kundi la nguruwe wakafa baharini, kwa mtu Kama wewe, ungesema mnamsifia Yesu wakati cc aliharibu mali za watu kwa kuwa mawazo yako yako upande wa dhulma Kama chama chako.
 
Leo chawa wa CCM mmepigwa nyundo ya utosi na Askofu mnaona kizunguzungu Kama siyo Kihindihindi.
 
Nadhani heading sahihi ya mada yako ilipaswa kuwa;

"...ASKOFU NIWEMUGIZI NI DESMOND TUTU WA TANZANIA.."

Kwa sababu, kwa jinsi ilivyo Niwemungizi hawezi kuwa Desmond Tutu wa South Africa kwa sababu wa huko SA yupo mwenyewe halisi...!!
 
Niwemugizi Yuko biased na haki. Chawa Kama wewe unachojua ni kutetea chama chako tu kilichojaa dhulma.


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app




Eliasmisizo!

Kwanza mimi sio chawa bali binadamu,sidhani kama kuna chawa Duniani anayeweza kusoma na kuandika kama binadamu.

Halafu usidhani wote tunaoandika humu ni wahuni...la khasha!

[emoji419]Pia tunaandika baada ya kujiridhisha.


Angejua haki asingemfanyia yale aliyomtendea askofu Mwoleka (R.I.P)!
Aliyekuwa Muamzilishi wa Jimbo hilo la Rulenge na muanzilishi wa jumuia ndogondigo.
Aliyemlea yeye Niwemugizi mpaka kufikia kuupata huo uaskofu?

Alimnyima mstaafu huyo huduma muhimu,ikiwemo hata kumnyima magazeti ya habari.Pia akapambana kuziua zile jumuia ndogondogo alizokuwa amezianzisha mzee, hapo awali na hatimae
Mzee wa watu akakimbilia Jimbo la Morogoro na kutunzwa huko.

Na baadae wajerumani wakaamua kumchukua mpaka ujerumani.
Walikomtunza mpaka mauti yanamkuta.

Na hata Askofu Mwoleka (R.I.P) kwa hasira aliwahi kutoa kauli kwamba akifariki asizikwe Rulenge.bali Morogoro au huko huko Ujerumani.
Ingawa alibatilisha uamuzi wake siku za mwisho karibu na mauti yake.

Baadae akaanza kudeal na mkwe wake Padre Privatus Karugendo (R.I.P)mpaka akamuondoa kwenye upadri,na Rulenge kwa ujumla.

Huyo Niwemugizi hana haki yoyote anayoitetea zaidi ya kuichukia pale serikali ya JPM ilipozuia vifaa vya taasisi za kidini kuingia nchini bila kulipiwa Ushuru au Kodi.

Alikuwa amezoea kuingiza vitu free ikiwemo madawa na kisha kuyasogeza Burundi na kupiga hela.

Leo kamsifia SSH weee!
Akamalizia kwa kuomba free importation ya vifaa tiba na madawa,akidai kwamba wao hawatengenezi faida bali wanatoa huduma.
iIa SSH akamchomolea kidiplomasia.....

.....Kwamba sio taasisi yake pekee inayoomba hivyo,bali kuna taasisi nyingine nyingi za kidini nazo zimekwisha wasilisha maombi kama hayo....

....Hivyo awe na subira wakati
Serikali inafanya upembuzi na ufuatiliaji.
Ili kuona na kujiridhisha iwapo,vikiisha ingia vinatumikaje?....

Je!...ni kweli ni Non-profit kama alivyodai Niwemugizi leo?

Ukienda Pale Bugando kwa mfano,au hospitali na shule yoyote inayomilikiwa na taasisiza kidini,
Utakuta bei ya huduma ni ghali kama kwingine kote nchini.

Shule za Seminari zote nchini wazazi tunalipa ada kama kwingineko,pamoja na kwamba waumini kutoa baadhi ya sadaka kuchangia seminari kupitia makanisani.
Hivyo vifaa au madawa yakiishaingia mbona hatujawahi ona msaada wake kwenye jamii kwenye suala la upunguaji wa bei.[emoji626]
 
Wewe punguani ukapimwe ubongo, shutuma unazotoa kwa Askofu wetu ni za kizandiki na uchochezi zisizo na hata chembe ya ushahidi, unachokitafuta utakipata!
 
Sio kwamba hana mapungufu, kwani tutu hakuwa nayo?kumbe huna habari zozote zile za jiwe kumchukia askofu huyu, alianza chuki naye toka hata hajawa rais, kisa kiwanja alichojenga kanisa jiwe pale kwake, na askofu alisimamia msimamo wake!!!alipokuwa rais , bado jamaa ana misimamo yake tu, ya kuwa mkweli, mizengwe ikaanza ya uraia!!
Hayo mambo ya kodi ni yako, lakini sio hilo.Kwani hiyo kodi anasamehewa yeye binafsi?Mungu anatisha sana, halafu jamaa ndio akamzika, na kumuombea mengine atajua mwenyewe huko na muumba wake.
 
Kuna ukweli mmoja tuu, na ukweli una upande mmoja tuu.... Ni hatari kwa taifa kwa vijana wapofu wa fikra km wewe kuwaza kuwa yeyote anayesimama kusema yanayosemwa na wasio serikalinu au wasio wana ccm basi atapachikwa majina hayo ya upinzani,ya vyama,uanaharakati n.k
 
Mnaojua sasa mtuanikie historia sasa ya Jimbo katoliki la Lulenge ngara ili na sisi tunaochangia hovyo vitu tisivyovijua tupate somo kabla ya kucoment chochote ili sasa tuwe na uwezo wa kuwapongeza au kuwapuuza kabisa viongozi wanaobwatuka hovyo.
 
Ni wewe kweli ?
 
Unaijua historia ya jimbo la Rulenge na roho mbaya ya huyu askofu Niwemugizi?!
Hapana siijui ,ila Kuna Askofu mwenzake mmoja wa kanisa la roman nilibahatika kumuuliza vipi jiwe na HUYU Niwemugizi Wana ugomvi gani,alinijibu kwa mkato tu kuwa hao wawili WANAJUANA wenyewe,du leo kwenye hizi nyuzi Kuna mtu kasema HUYU Askofu ni MHUTU nikajua ndio walewale tunawaita SUKUMAGANG ,genge la kihutu lenye ROHO mbaya ,nimeamua simsikilizi Tena kanitia kichefuchefu
 
Nahisi Niwemugizi sio mtu wa kuaminika hata kidogo waganga njaa tu kupitia elimu ya dini
 
Pascal Mayalla
 
Hovyo wewe
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…