Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

Wewe umeguswa eneo lako Sasa unataka kupindua meza kwa kuhamisha mada tusijadili wizi ulioko serikalini tuhamie wa kidini?
Duhh, NAWATAFUNA kimbia mkuu, hizi nyundo ni hatari. Wenzako siku hizi wamekaa mbali kubeba hili gunia, linawapakaza kinyesi.
 
Hakuna cha dhalimu ww sema umelipwa tu na hii ni Ajira yako,kiongozi wa nchi Kesha lala lkn kila kukicha ni matusi Hili Lina baraka na mkono wa watawala wa sasa bila hivyo lisingewezekana, mwambieni boss wenu, marehemu hajitetei.
Kwa hiyo na johnthebaptist kalipwa ili alete hii mada? Wewe na johnthebaptist nani anamjua zaidi JPM na uongozi wake wa Awamu ya 5?

Cc Tindo
 
Back
Top Bottom