Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,690 Reaction score 3,399 Apr 17, 2022 #61 eliasmisinzo said: Wewe umeguswa eneo lako Sasa unataka kupindua meza kwa kuhamisha mada tusijadili wizi ulioko serikalini tuhamie wa kidini? Click to expand... Duhh, NAWATAFUNA kimbia mkuu, hizi nyundo ni hatari. Wenzako siku hizi wamekaa mbali kubeba hili gunia, linawapakaza kinyesi.
eliasmisinzo said: Wewe umeguswa eneo lako Sasa unataka kupindua meza kwa kuhamisha mada tusijadili wizi ulioko serikalini tuhamie wa kidini? Click to expand... Duhh, NAWATAFUNA kimbia mkuu, hizi nyundo ni hatari. Wenzako siku hizi wamekaa mbali kubeba hili gunia, linawapakaza kinyesi.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Apr 17, 2022 #62 Salary Slip said: SUKUMA-GANG lazima wanune. Click to expand... Watawala wetu ni wezi irrespective of their religious affiliation!!!
Salary Slip said: SUKUMA-GANG lazima wanune. Click to expand... Watawala wetu ni wezi irrespective of their religious affiliation!!!
Ng'wale JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 4,690 Reaction score 3,399 Apr 17, 2022 #63 Nnangale said: Hakuna cha dhalimu ww sema umelipwa tu na hii ni Ajira yako,kiongozi wa nchi Kesha lala lkn kila kukicha ni matusi Hili Lina baraka na mkono wa watawala wa sasa bila hivyo lisingewezekana, mwambieni boss wenu, marehemu hajitetei. Click to expand... Kwa hiyo na johnthebaptist kalipwa ili alete hii mada? Wewe na johnthebaptist nani anamjua zaidi JPM na uongozi wake wa Awamu ya 5? Cc Tindo
Nnangale said: Hakuna cha dhalimu ww sema umelipwa tu na hii ni Ajira yako,kiongozi wa nchi Kesha lala lkn kila kukicha ni matusi Hili Lina baraka na mkono wa watawala wa sasa bila hivyo lisingewezekana, mwambieni boss wenu, marehemu hajitetei. Click to expand... Kwa hiyo na johnthebaptist kalipwa ili alete hii mada? Wewe na johnthebaptist nani anamjua zaidi JPM na uongozi wake wa Awamu ya 5? Cc Tindo
Nnangale JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 2,664 Reaction score 1,379 Apr 18, 2022 #64 Ng'wale said: Kwa hiyo na johnthebaptist kalipwa ili alete hii mada? Wewe na johnthebaptist nani anamjua zaidi JPM na uongozi wake wa Awamu ya 5? Cc Tindo Click to expand... Baba Niwemugizi hata hiyo report inaweza kuwa ni uongo tu,huna sababu ya kuiamini Kama jamii yote ni waongo hiyo ripoti inakosaje uongo.
Ng'wale said: Kwa hiyo na johnthebaptist kalipwa ili alete hii mada? Wewe na johnthebaptist nani anamjua zaidi JPM na uongozi wake wa Awamu ya 5? Cc Tindo Click to expand... Baba Niwemugizi hata hiyo report inaweza kuwa ni uongo tu,huna sababu ya kuiamini Kama jamii yote ni waongo hiyo ripoti inakosaje uongo.