Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

Wale jamaa wanatangaza na Dini wao kabisa hiyo ndio shida ya PENGO ,hayo mwengine zuga tu
 
Aulizae ataka kujua, tusubiri kama utapata jibu
 
Bandari haijauzwa jamani. Mi mbona sijaona mapene? Nahisi imetolewa bure. Ni ni
Bandari haijauzwa. Wamepewa buuuree. Wakitaka watulipe kodi baada ya kujenga miundombinu. Hata wasipolipa kodi haturuhusiwi kuvunja wala hatuwezi vunja mkataba. Hata wakiitumia hivyohivyo watumie tu. Sisi hatuna maneno. Ndo nimeulewa hivyo mkataba wetu na DP. Namwombea Trump ashinde uchaguzi Marekani. Ili kipindi hiki tena atutukane kama wakati ulee. Nadhani mliokasirika wakati ule sasa mtamwelewa alichokuwa akisema. Maana nyie wote THOMASO. Mpaka muone ndo mtaamini sisi na mtemi MANGUNGO, Heri mangungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…