Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Siku zinaenda kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hadi Baleke anashangaa !Hatutaki kupigiwa kelele!
Mzalendo wa kweli Dr sabaya!!Wewe ni Rafiki mkubwa wa nani?
Aulizae ataka kujua, tusubiri kama utapata jibuPengo ana asili ya wapi??
Sio mrundi wale waliokimbia machafuko wakawekewa kambi kule katavi???..
Kuna anaejua majina matatu ya Pengo?..
Manake nchi hii kumbe Msukuma ana asili ya Burundi..
Kakobe mrundi...
The list is so long...
Anaejua majina ya wazazi wa Pengo naomba aweke hapa..majina matatu
Natanguliza kuomba radhi kama hisia zangu sio sahihi...
Bandari haijauzwa jamani. Mi mbona sijaona mapene? Nahisi imetolewa bure. Ni niHauna kibali cha kumchagulia wa kuwa rafiki wa askofu Pengo na hata wa kumuombea , Jenga hoja kwanini bandari haijauzwa Kwa DP World au kubinafsishwa Kwa maslahi mapana ya mwekezaji na si nchi , Hii vita SSH hataiona kama gunia la miba kichwani Kwa uzembe wa wanaomtetea kukosa hoja na mantiki na kubaki kuangalia madhaifu ya wakosoaji hasa ya kibinadamu. Uenda Jambo la bandari lipo Kwa nia njema ya maendeleo ya nchi yetu lakini wasemaji sasa ukute hata makabrasha ya uhalisia wa mkataba hawajanusishwa kazi kupiga blah blah tu.
Bandari haijauzwa. Wamepewa buuuree. Wakitaka watulipe kodi baada ya kujenga miundombinu. Hata wasipolipa kodi haturuhusiwi kuvunja wala hatuwezi vunja mkataba. Hata wakiitumia hivyohivyo watumie tu. Sisi hatuna maneno. Ndo nimeulewa hivyo mkataba wetu na DP. Namwombea Trump ashinde uchaguzi Marekani. Ili kipindi hiki tena atutukane kama wakati ulee. Nadhani mliokasirika wakati ule sasa mtamwelewa alichokuwa akisema. Maana nyie wote THOMASO. Mpaka muone ndo mtaamini sisi na mtemi MANGUNGO, Heri mangungo.Hauna kibali cha kumchagulia wa kuwa rafiki wa askofu Pengo na hata wa kumuombea , Jenga hoja kwanini bandari haijauzwa Kwa DP World au kubinafsishwa Kwa maslahi mapana ya mwekezaji na si nchi , Hii vita SSH hataiona kama gunia la miba kichwani Kwa uzembe wa wanaomtetea kukosa hoja na mantiki na kubaki kuangalia madhaifu ya wakosoaji hasa ya kibinadamu. Uenda Jambo la bandari lipo Kwa nia njema ya maendeleo ya nchi yetu lakini wasemaji sasa ukute hata makabrasha ya uhalisia wa mkataba hawajanusishwa kazi kupiga blah blah tu.