Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

Wale jamaa wanatangaza na Dini wao kabisa hiyo ndio shida ya PENGO ,hayo mwengine zuga tu
 
Pengo ana asili ya wapi??
Sio mrundi wale waliokimbia machafuko wakawekewa kambi kule katavi???..

Kuna anaejua majina matatu ya Pengo?..
Manake nchi hii kumbe Msukuma ana asili ya Burundi..
Kakobe mrundi...
The list is so long...

Anaejua majina ya wazazi wa Pengo naomba aweke hapa..majina matatu

Natanguliza kuomba radhi kama hisia zangu sio sahihi...
Aulizae ataka kujua, tusubiri kama utapata jibu
 
Hauna kibali cha kumchagulia wa kuwa rafiki wa askofu Pengo na hata wa kumuombea , Jenga hoja kwanini bandari haijauzwa Kwa DP World au kubinafsishwa Kwa maslahi mapana ya mwekezaji na si nchi , Hii vita SSH hataiona kama gunia la miba kichwani Kwa uzembe wa wanaomtetea kukosa hoja na mantiki na kubaki kuangalia madhaifu ya wakosoaji hasa ya kibinadamu. Uenda Jambo la bandari lipo Kwa nia njema ya maendeleo ya nchi yetu lakini wasemaji sasa ukute hata makabrasha ya uhalisia wa mkataba hawajanusishwa kazi kupiga blah blah tu.
Bandari haijauzwa jamani. Mi mbona sijaona mapene? Nahisi imetolewa bure. Ni ni
Hauna kibali cha kumchagulia wa kuwa rafiki wa askofu Pengo na hata wa kumuombea , Jenga hoja kwanini bandari haijauzwa Kwa DP World au kubinafsishwa Kwa maslahi mapana ya mwekezaji na si nchi , Hii vita SSH hataiona kama gunia la miba kichwani Kwa uzembe wa wanaomtetea kukosa hoja na mantiki na kubaki kuangalia madhaifu ya wakosoaji hasa ya kibinadamu. Uenda Jambo la bandari lipo Kwa nia njema ya maendeleo ya nchi yetu lakini wasemaji sasa ukute hata makabrasha ya uhalisia wa mkataba hawajanusishwa kazi kupiga blah blah tu.
Bandari haijauzwa. Wamepewa buuuree. Wakitaka watulipe kodi baada ya kujenga miundombinu. Hata wasipolipa kodi haturuhusiwi kuvunja wala hatuwezi vunja mkataba. Hata wakiitumia hivyohivyo watumie tu. Sisi hatuna maneno. Ndo nimeulewa hivyo mkataba wetu na DP. Namwombea Trump ashinde uchaguzi Marekani. Ili kipindi hiki tena atutukane kama wakati ulee. Nadhani mliokasirika wakati ule sasa mtamwelewa alichokuwa akisema. Maana nyie wote THOMASO. Mpaka muone ndo mtaamini sisi na mtemi MANGUNGO, Heri mangungo.
 
Back
Top Bottom