Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #21
Afadhari dogo aka Buguruni camp umekuja kushika lindo eti umekuja kuongeza nguvu hapa tokaaaa Pengo sio size yako nenda kachangie hoja nyingine!! Nenda kamkemee huyu king'ang'anizi wa madaraka mbadilisha katiba ya chama ili abakie madarakani toka 2003 mpaka 2019 ukiweza uje hapa kuchangiaView attachment 254449
Eti unajiita,SIDANGANYIKI? epa,escrow,richmond na uoza mwingine wote bado haviibadili akili yako ikabadilika na kuhama hilo li chama lenu na kuhamia ktk vyama vya ukombozi chini ya mwavuli muruuuwa wa UKAWA?


