Pre GE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala.

Your browser is not able to display this video.

Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya Tanzania na Watanzania ndiyo unampa jeuri anayewaza hivyo kutamka hadharani.

Tazama video uelimike zaidi

===

Ninajua sababu kwanini umeng’ang’ania Katiba ya Kale, umeona umeshakwisha, kwamba uchaguzi wowote wa haki utashindwa.

Ndiyo maana unategemea polisi tu na usalama muende mkapore. Nyerere kupata uhuru miaka 6, 7 kapata uhuru. Sisi miaka 19 na bado eti tunawabembeleza wakubali tuwe na katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Upumbavu gani huu, na ujinga gani huu, na uchuro gani huu, na dhuruma gani hii, CCM kwanini mmetudhurumu watanzania namna hii, kukubali ukae madarakani ndio umeamua kuwa jeuri namna hii? Unataka kutawala miaka yote wewe mwenyewe? Peke yako? Sasa watu hawakutaki.

Wangekuwa wanakutaka ungeruhusu katiba mpya, marekebisho yaliyo nyooka ya tume huru ya uchaguzi. Lakini tunakubembeleza CCM wewe utupe katiba mpya, eti hatudai, tunakumbembeleza CCM. Eti wewe mpaka ukubali ndipo tume inyooke, ukikataa haitanyooka. Upumbavu gani wa nchi hii jamani, ni nini hii nchi jamani

Mkoloni miaka 6, 7 tumepata uhuru, hivi vikaragosi miaka 19 na kuendelea bado vinang’ang’ania, tunavibembeleza?

Askofu Victor Chisanga
 
Siku kadiri zinavyoenda, wengi wameamua kuuweka wazi ushetani wa CCM.

Hima hima maandamano ya kuukataa ukoloni wa CCM ni 24/01/2024. Sote tujumuike kuwaeleza CCM kuwa undondocha sasa mwisho.
 
Mwamakula amepata company.

Muda Ule adhimu umewadia.

Mara zote watumishi wa Mungu wakiamua, njia huonekana.

Chisanga you have my appreciation.

UBARIKIWE.
 
Ccm ni sikio la kufa, ila hizi kelele tena za viongozi wa kidini shauri yenu. Hao wakiamua kuwashawishi waumini wao juu ubaya wa ccm na serikali sidhani kama utapatikana muda wa kukaa pamoja kuweka mambo sawa. Hii ni alamu kwenu!

Shupazeni shingo tu ila muda sio mrefu mtajuta!
 
Huo ndio ukweli Polisi Tume ya Uchaguzi na TISS ni MATAWI ya ccm

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Duh saiv nchi imechafuka sana kisiasa mpaka nawaza na kuogopa sana, ccm hii jaman😢
 
Huu ni UNABII kutoka kwa Mungu,asiyesikiliza lazima atazama na watu wake (kikundi chake) katika kilindi cha kina kirefu cha BAHARI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…