Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Lawama zimekuwa ni nyingi sana, tuache lawama.

Hili swala ni rahisi kulitatua likianzia ngazi ya Familia. Kila Mtu achukue jukumu la kuilinda familia yake isikumbane na huu Upuuzi.

Kila Familia ibebe Jukumu, tatizo la hii nchi ni UMASIKINI. Mtoto akiwa shoga na ana hela, basi familia inaloaaaa. Hawamkemei kwa vile anawapa hela.

Hata Nchi inakubali hizi agenda kwasababu ya UMASIKINI. Russia, China, North Korea wameweza kwakua ni Powerful.

Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mnyang'anyeni.
 
Huenda waliokuletea hii dini unayohubiri kati yao wapo mashoga, hapo unasemaje?
 
Make children away from their parents
Destroy their spiritual learning hizo ndio njia wanazotumia kuzalisha mapapai.
 
Mtazamo maadili yalishaporomoka bongo kitambo sana
 
Bosi hanuniwi.

Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga. Ruto atamke lakini asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.

Familia zimesahau majukumu.
Dah unavyojitetea SASA
 
Kumbe wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi upate msaada, mskini weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…