Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Lawama zimekuwa ni nyingi sana, tuache lawama.

Hili swala ni rahisi kulitatua likianzia ngazi ya Familia. Kila Mtu achukue jukumu la kuilinda familia yake isikumbane na huu Upuuzi.

Kila Familia ibebe Jukumu, tatizo la hii nchi ni UMASIKINI. Mtoto akiwa shoga na ana hela, basi familia inaloaaaa. Hawamkemei kwa vile anawapa hela.

Hata Nchi inakubali hizi agenda kwasababu ya UMASIKINI. Russia, China, North Korea wameweza kwakua ni Powerful.

Mnyonge Mnyongeni na haki yake Mnyang'anyeni.
 
Kwani Wazenji wanasemaje?!
IMG-20230304-WA0037.jpg
 
Make children away from their parents
Destroy their spiritual learning hizo ndio njia wanazotumia kuzalisha mapapai.
 
Wakuu,

Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga.

Lakini pia Askofu Ruwaichi amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa kauli dhabiti juu ya maadili lakini kiongozi mwenzake wa serikali akasema hiyo si kauli ya serikali! Ameuliza hapo kauli ya serikali ni ipi?

My take; Kwa nguvu na kasi ya msukumo juu ya ushoga unaoendelea duniani bila sisi kuchora mstari wa wazi na jamii ya kimataifa kuelewa msimamo wetu huko mbele tutapata shida kubwa hizo haki zitapoanza kudaiwa na watu potential bila woga hapa kwetu.

Mama yetu Mh Rais Samia pia aligusia umuhimu wa kulinda maadili yetu na kwa msimamo wake na dini yake nafahamu hawezi kuyumba kwenye hili na mfano mzuri ni serikali kupiga marufuku vitabu vya shule vinavyochochea hayo.

Nchi za wenzetu haya mambo yalianza kama mchezo na pengine hakuna aliyeamini itafikia hatua ya kuhalalishwa kisheria na hata kufundishwa mashuleni! Sasa tusisubiri tufike huko maana kijamii tunaanza kuzoeshwa tuone kawaida! Tunaona watangazaji maarufu, mastaa na hata shughuli mbalimbali za burudani jamii ya mashoga wanajitokeza wazi bila woga.

Tusipoziba ufa tutajenga ukuta! Tuanze kuchukua hatua sasa, tusifanye mzaha na maadili ya msingi yanayolinda utu wetu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mtazamo maadili yalishaporomoka bongo kitambo sana
 
Bosi hanuniwi.

Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga. Ruto atamke lakini asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.

Familia zimesahau majukumu.
Dah unavyojitetea SASA
 
Huwezi kuwa na uchumi tegemezi kisha uanze kupiga hesabu za kuyavimbia mataifa ya ulaya na marekani, hao viongozi wa serikali watakuwa wanasema tu chini chini, lakini hawawezi kuweka msimamo wa wazi utambulike mbele ya jumuia ya kimaifa, wanajua jeuri hiyo kama nchi hatuna.

Kila siku tunajinadi hatufungamani na upande wowote, naamini huu msimamo tunauendeleza hata kwenye masuala mengine kama hayo ya ushoga, hata kama ikiwa ni kimya kimya.
Kumbe wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi upate msaada, mskini weee
 
Back
Top Bottom