Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Hawa ndio visababishi vya ushoga.
1-SINGLE MOTHER'S :hawa wanachangia malezi mabovu ya mtoto utakuta mtoto wa kiume anapakwa wanja,lip stick wao wanafurahi tu wanaona kawaida.

2-BOARDING SCHOOL:kuanzia kindergarten-primary school...hizi shule ni viwanda vya kuzalisha mashoga mtoto ana miaka 5 mpaka 13 unampeleka boarding ili iweje? Umri huo ndio umri sahihi wa mtoto kuwa pamoja na wazazi muda wote wote kupata malezi stahiki.

Boarding ni maalumu kwa secondary tu.

3:MALEZI: mtoto wa kiume usimlee kimayai mlee kikatili peleka shamba, lima bustani, chota maji, pikia mbwa chakula, safisha mabanda ya kuku lisha kuku, kama upo ktk ujenzi mwambie amwagilie maji matofali kila siku mfanye mwanao awe busy kila muda.usimlee mtoto kimayai inatakiwa ajione tofauti na mwanamke.

4-USWAHILINI:Halina ubishi uku ndio mashoga wanapozalishwa kwa kasi ya ajabu.
No 3 ni Irrelevant, yaan hakuna kitu hapooo.
 
Watu wasiojulikana wangetusaidia sana hapa kwa mashoga.

Lkn viongozi wa dini wazazi na pengine mitaala yetu ikawa na mafunzo ya maadili sahihi.
 
if you cant fight join them, heri kuwa moto au baridi na si vugu vugu. Mama yetu huyu haeleweki hataki nini na anataka nini...mafumbo mengi hatari. Hata kukemea uizi serikalini hataki utamsikia kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mara oooh mtu anakula sana hadi anapitiliza, sasa wewe unakuwa rais wa nchi huna kauli za kukataza ..tutajua upo upande wa pili tu..maana hakuna jibu mbadala.
 
Mshenzi ni wewe unayeandika utumbo.
Kuwa kanisa katoliki lina ongoza kwa vitendo vya ushoga na ulawiti ?
Screenshot_20230304-164700.jpg
Screenshot_20230304-164830.jpg
Screenshot_20230304-164919.jpg
Screenshot_20230304-165147.jpg
 

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Yesu alitetea kahaba pia, maana yake aliunga mkono ukahaba? Understand the message.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Uzi mwingine wa mashoga. Na huu nao nautabiria makubwa. Ngoja nikae pembeni nishuhudie.
 
Ameamua aseme,ukiwa na Mungu wa kweli unajiamini,huogopi chochote! atamani na watumishi wa makanisa mengine na huduma nyingine wawe wanakemea hadharani kama huyu! Ila sidhani kama serikali itakuja kukemea hadharani!! I wish serikali nayo ije iseme,I just wish!!!
But “if wishes were horses,beggars would ride’🚶🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom