AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Yuda anapiga spana za moto mpaka mnafurukuta mfanye tukio gani lingine kumvamia hamuwezi nimemsikia leo kwenye kongamano anasema mmenyoosha mikono juu mnasema wenyewe Wakatoriki [hatuwawezi]Viongozi wenyewe wa kanisa wamekuwa banned kuoa,bila shaka zinaa itakuwa alternative watawezaje kukemea.uzinzi na wao ndiyo ponea ponea yao...??
HAMTAFAKARI??
Exactly. Kanisa linapokemea Uongo na Mauaji ambayo yamekatazwa hata katika Biblia inakuwaje nje ya majukumu yake?
Linakua ndani kabisa ya majukumu yake bila shaka..Exactly. Kanisa linapokemea Uongo na Mauaji ambayo yamekatazwa hata katika Biblia inakuwaje nje ya majukumu yake?
Haya tokeni barabarani tuoneYuda anapiga spana za moto mpaka mnafurukuta mfanye tukio gani lingine kumvamia hamuwezi nimemsikia leo kwenye kongamano anasema mmenyoosha mikono juu mnasema wenyewe Wakatoriki [hatuwawezi]
Umebanwa na mavi? Herufi kubwa za nini? Haya nenda katawaze kwanza halafu ujeKANISA LILITUMA VIJANA WAKE.WAKASHIRIKI KUFANYA FUJO
WAMEPIGWA NA VITU VINAVYOSEMEKANA NI VYA NCHA KALI KANISA LINAKUJA KUBWEKA BWEKA ETO WANAOMBA IDADI ITANGAZWE MARA WANAOMBA MIILI WAKAZIKE...
KANISA LIMEVURUGWA SANA
Spana zimewaingia au mnaenda tena kuvaa vijora na madela? Safari hii mnaandamana kuelekea wapi?Haya tokeni barabarani tuone
Katika utawala wa sheria, mhalifu anachukuliwa hatua kulingana na sheria inavyosema.KANISA LILITUMA VIJANA WAKE.WAKASHIRIKI KUFANYA FUJO
WAMEPIGWA NA VITU VINAVYOSEMEKANA NI VYA NCHA KALI KANISA LINAKUJA KUBWEKA BWEKA ETO WANAOMBA IDADI ITANGAZWE MARA WANAOMBA MIILI WAKAZIKE...
KANISA LIMEVURUGWA SANA
mcha@@nge usingetokea ningeshangaa.YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Vijora na madera ni vya wale 'wakatoliki' wa kilaza samuya!.YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Katika utawala wa sheria, mhalifu anachukuliwa hatua kulingana na sheria inavyosema.
Kama mna ushahidi wa uhusika wa Kanisa katika maandamano yale (na kama sheria zinasema ni kosa), utaratibu ni kuwafungulia mashtaka wahusika na kanisa. Siyo kutengeneza waumini feki na kusambaza fitna ndani ya taasisi.
Vijora na madera ni vya wale 'wakatoliki' wa kilaza samuya!.
Fitna!HAO WAUMINI FAKE NI WAUMINI WENU..
KUWAKATAA NI ISHARA YA KUKIMBIA KIVULI CHENU WENYEWE..KAENI CHINI MMALIZANE NAO
SERIKALI HII YA SAMIA HAINA MUDA MCHAFU WA KUCHEZA PROPÀGANDA ZA HOVYO KAMA.HIZO.
KANISA LIMEKOSA MWELEKEO
Kwahiyo mashehe wanapovaa kanzu huwa wamevaa magauni.YEYE MWENYEWE ANAVAA MAGAUNI NA WENZAKE KWANINI ANAWAKATAZA WAUMINI WAKE WASIVAE VIJORA?
Spana zimewaingia au mnaenda tena kuvaa vijora na madela? Safari hii mnaandamana kuelekea wapi?
sawa mrembo mvaa kijoraWakatoliki mtaendelea kulopolopo tu, kwa kuwa ni mafisi
Mkichochea watoke tena wanakula za kichwa tu wakajaze mochwari
Acha ukumanazi maandishi madogo huwezi kuandika?CHA AJABU SASA WALE WANAANDAMANA KWENDA UBALOZI WA VATICAN,KANISA LINAUMIA NINI??
KAMA WANAENDA KUSEMA UKWELI WAACHWE WAKASEME
Kwahiyo mashehe wanapovaa kanzu huwa wamevaa magauni.