Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hamna hoja hapo utopolo ,mnaacha kutoa tamko mmeklia elimu za mchongo.Mkuu, aliyeshikilia akili yako nenda kamuombe msamaha haraka sana. Ni ushauri tu!
Toeni uchambuzi wa waraka wa papa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna hoja hapo utopolo ,mnaacha kutoa tamko mmeklia elimu za mchongo.Mkuu, aliyeshikilia akili yako nenda kamuombe msamaha haraka sana. Ni ushauri tu!
Unazidi kuwa mjingaHamna hoja ... Uchaguzi CCM wataiba milele kule Dp world mlipigwa chali
AKILI ZAKO NDOGO SANA!Sababu za kitoto 🤣🤣hata wanafunzi wanaweza kutoa...Tunataka kuona msimamo wao juu ya Papa acheni kuzunguka sana.
Hao jamaa zako hata Nondo yule wa ACT wazalendo hawamfikiii kwa uelewa wa mambo ya siasa...
Pamoja na kwamba hoja Yako ni nzuri lakini rais asiwateue.Rais akiamua kutumia madaraka yake vibaya, hata kama hao wajumbe wakipatikana kwa kupigiwa kura na wananchi hawatoweza kuwa huru!
Mimi nitaendelea kuamini kwamba, suala la uhuru linaanzia kwa mtu anayeteuliwa, yeye mwenyewe ndani yake yupo huru? Anafahamu haki na kiapo chake kinamtaka afanye nini?
Hatuwezi kamwe kuwa na taasisi huru kwenye nchi hii kama hatutopata watu huru na wanaojitambua, watu wasio na tamaa za mali wala vyeo!
Hakuna kiongozi yeyote wa waislam amewahi kutoa tamko kuhusu kukubalika ushoga kwenye uislam. Ila nyie wagalatia papa ambaye ni kiongozi wenu kasema mashoga muende akawabariki. Pia kaagiza mapadre wawabariki.Ushoga wa mtume na wafuasi wake je, tuunyamazie?
Asilimia kubwa ya masheikh ni wafi..ji, labda ulipitiwa ukiwa bado mdogo muulize mzazi wakoHakuna kiongozi yeyote wa waislam amewahi kutoa tamko kuhusu kukubalika ushoga kwenye uislam. Ila nyie wagalatia papa ambaye ni kiongozi wenu kasema mashoga muende akawabariki. Pia kaagiza mapadre wawabariki.
Vipi umeshabarikiwa mlei?
Toa ujinga wako hapa.AKILI ZAKO NDOGO SANA!
Kama viongozi wakoUnazidi kuwa mjinga
Siyo tu kukosa uhuru... Wanakuwa na conflict of interestAkiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa Rais.
Ameongeza kuwa Tume hiyo inapaswa kuwa na muundo wa Kijaji ikiwa na Watendaji ambao ni Majaji kama Tume iliyoundwa kuchunguza Majaji wanaochunguza Ukiukwaji wa Maadili ili iweze kutoa maamuzi yanayokubalika na kuheshimika.
Aidha, amependekeza Wajumbe wa Kamati ya Usaili inapaswa kuanzishwa kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania na wasitokane na uteuzi wa Rais huku akitolea mfano wa Kenya ambako Wajumbe Kamati hiyo Huteuliwa na Tume ya Utumishi ya Bunge, Chama cha Sheria, Baraza la Viongozi wa Dini na baadaye Rais hupewa majina kwaajili ya kutangaza Uteuzi wao.
==========
"Hata Wajumbe wa Kamati hiyo wote kwa sehemu kubwa ni wateule wa Rais na hivyo uhuru wao ni wa kutia maanani, ni vyema kabisa kuwa Kamati hii iwe ya Majaji kama ile iliyoundwa kuchunguza mambo yanayohusu Majaji wanapochunguzwa dhidi ya ukiukwaji wa maadili ili iweze ikatoa maamuzi yanayoheshimika na kukubalika" -Askofu Ruwai'chi
"Kifungu cha 5(2) kinasema kuwa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe watashika nafasi zao baada ya kuapishwa na Rais, kwa mujibu wa kifungu cha 8(1) muda wa Utumishi wa Wajumbe umetajwa kuwa ni miaka Mitano (5) sawa na Ibara ya 74, Kifungu cha Nne (4) cha Katiba inavyosema, aidha kifungu hicho cha 8(2) kinatoa sababu ya ukomo wa Utumishi wa Mjumbe kuwa ni pamoja na kumalizika kwa muda wa miaka Mitano (5) tangu alipoteuliwa, ikiwa amefariki, ikiwa amejiuzuru au kujitokeza jambo lolote ambapo tangu alipoteuliwa ikiwa asingekuwa Mjumbe asingeweza kuteuliwa au ameondolewa na Rais kutokana na sababu mbalimbali kama uwezo wa kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya maradhi au kwa sababu nyingine yoyote au pia kwa sababu ya tabia mbaya, kupoteza sifa ya kuteuliwa kuwa Mjumbe, kigezo cha kutokea kwa jambo lolote ambapo kama asingekuwa Mjumbe asingeweza kuteuliwa ni Kigeni na hakipo kwenye Katiba, mandhari Katiba imetoa vigezo, sababu zinzoweza kusababisha mtu kuondolewa basi hizo ndizo kigezo halali na cha kuzingatia" -Askofu Ruwai'chi
"Kamati ya Usaili inaundwa na Kifungu cha 9(1) na kujumuishwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Jaji Mkuu wa Zanzibar ambaye atakuwa Makamu Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Mjumbe mwingine mmoja atakayeteuliwa na Rais kwa kuzingatia Jinsia, isitoshe kusema kuwa hiki ni kitu kipya na kama tulivyosema hiki ni kitu ambacho hakimo katika Katiba, ili Kamati hii iweze kuwa na nguvu na iaminike ni lazima ianzishwe na Katiba na vile vile Wajumbe wake wawe ni tofauti na hawa ambao wanaonekana ni wateule wa Rais" -Askofu Ruwai'chi
"Kwa pale Nchini Kenya kwa mfano Wajumbe wa Kamati ya usaili wanateuliwa na Vyombo vya Kisheria ikiwemo Tume ya Utumishi wa Bunge, Chama cha Sheria cha Kenya, Baraza la pamoja la Viongozi wa Dini na Rais yeye hupelekewa majina ili atangaze uteuzi na sio kuwateua" -Askofu Ruwai'chi
"Kifungu cha 10(1) kinaonyesha kuwa Mwenyekiti na Makamu wake wataeuliwa na Rais moja kwa moja na wao hawahusiki na mchakato wa usaili, hili ni sawa kwani Katiba haidai hivyo lakini kosa la sheria ni kule kuwafanya Mwenyekiti na Makamu wake wasiwe Wajumbe wakati tayari Katiba inawaita ni Wajumbe, hivyo vyote ambavyo vinapendekezwa na Sheria juu ya Kamati ya usaili ni Batili" -Askofu Ruwai'chi
Pamoja na kwamba hoja Yako ni nzuri lakini rais asiwateue.
Halipo jambo lisilokuwa na suluhisho,nahuwezi maliza changamoto kwa kukwepa ukweli unaotokana na suluhisho.Sheria zipo na zinasema wazi kabisa kuhusu uhuru wa Tume ya uchaguzi. Je ni kweli wapo huru?
Matatizo ya hii nchi ni makubwa sana na hayawezi kumalizwa na sheria.
Haswa.Kama viongozi wako